-
Rais Rouhani amtumia Kiongozi Muadhamu salamu za mwaka mpya wa Hijria Shamsia
Mar 21, 2016 11:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa mkono wa kheri na fanaka Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa kuwadia mwaka mpya wa 1395 Hijria Shamsia.
-
Rouhani: Uchumi wa Iran kustawi kwa 5%
Mar 20, 2016 12:16Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi hii inalenga kuwa na ustawi wa kiuchumi wa asilimia tano katika mwaka mpya wa Kiirani ulioanza Machi 20.
-
Rais Rouhani ampongeza Rais Museveni kwa kuchaguliwa
Mar 13, 2016 03:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempongeza Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa kuchaguliwa tena hivi karibuni kuiongoza nchi hiyo.
-
Rouhani: Haram na matukufu ya Kiislamu ni mstari mwekundu kwa Iran
Mar 12, 2016 11:54Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitoruhusu makundi ya kigaidi kushambulia Haram na matukufu mengine ya Kiislamu nchini Iraq na Syria huku akisisitiza kuwa, maeneo matakatifu ya kidini ni mstari mwekundu wa taifa hili.
-
Rouhani: Uchaguzi wa Iran uliistaajabisha dunia
Mar 06, 2016 12:00Rais Hassan Rouhani amesema kwa mara nyingine tena kuwa wananchi wa Iran wamewastaajabisha walimwengu kutokana na namna walivyoshiriki kwa wingi katika uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wanazuoni Wataalamu uliofanyika hivi karibuni.
-
Rais Rouhani: Uchaguzi ni miongoni mwa mambo ya kujivunia Iran
Feb 24, 2016 00:09Rais Hassan Rouhani amesema uchaguzi ni miongoni mwa mambo ya kujivunia kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Iran inalipa umuhimu suala la ushirikiano na nchi za Kiafrika
Feb 14, 2016 09:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran iinalipa umuhimu wa aina yake suala la ushirikiano na nchi za Kiafrika.
-
Rais Rouhani amlaki rasmi Rais Dramani Mahama wa Ghana
Feb 14, 2016 04:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemlaki na kumkaribisha rasmi Rais John Dramani Mahama wa Ghana katika jengo la kiutamaduni na kihistoria la Ikulu ya Sa'ad Abad mjini Tehran.
-
Iran, nchi inayowajibika katika Mashariki ya Kati
Feb 11, 2016 04:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa wananchi wa Iran daima wamekuwa wakitaka kuwa ya uhusiano mzuri na majirani na nchi zote duniani hususan baada ya kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
-
Rouhani: Matunda makubwa ya JCPOA ni kubatilisha propaganda chafu dhidi ya Iran
Feb 11, 2016 00:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kushindwa kwa mpango wa kueneza hofu kuhusu Iran kote ulimwenguni ndiyo matunda makubwa zaidi ya makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 maarufuku kwa kifupi kama JCPOA.