-
Viongozi wa Russia, Iran na Uturuki watoa taarifa mwishoni mwa kikao chao cha mjini Sochi
Feb 14, 2019 23:22Viongozi wa nchi tatu za Iran, Russia na Uturuki wamesisitiza kuhusu azma yao ya kuimarisha ushirikiano kwa ajili ya kupeleka mbele gurudumu la mchakato wa kisiasa nchini Syria, kurejeshwa makwao wakimbizi na kuijenga upya nchi hiyo.
-
Russia: Iran ina haki ya kuimarisha teknolojia yake ya makombora
Feb 12, 2019 23:38Serikali ya Russia imesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran in haki ya kuimarisha teknolojia yake ya makombora.
-
Russia: Mpango wa makombora wa Iran haukiuki sheria za kimataifa
Feb 12, 2019 00:59Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuwa Iran ina haki ya kujilinda, na mpango wake wa makombora haukiuki sheria za kimataifa.
-
Lavrov: Russia imejiandaa kukabiliana na siasa za kibeberu za Magharibi
Feb 09, 2019 21:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kuwa Moscow imejiandaa kukabiliana na siasa za kutwisha za madola ya Magharibi.
-
Russia yaionya Marekani isithubutu kuingia kijeshi Venezuela
Feb 07, 2019 11:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imeionya Marekani kuhusu hatari ya chokochoko zake za kutaka kuivamia kijeshi Venezuela.
-
Kujibu mapigo Russia; amri ya Putin ya kusimamishwa utekelezaji wa mkataba wa silaha za nyuklia wa INF
Feb 03, 2019 04:23Tarehe 20 Oktoba 2018, katika mwendelezo wa sera zake kuu za kujitoa kwenye mikataba na makubaliano ya kimataifa, Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza kuwa nchi yake itajiondoa pia kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati, kwa kifupi INF.
-
Russia yajibu mapigo baada ya Marekani kujiondoa INF
Feb 02, 2019 11:22Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kuindoa Russia kwa muda katika mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF), baada ya Marekani kufanya hivyo jana Ijumaa.
-
Marekani yajiondoa rasmi 'kwa muda' katika mkataba wa INF
Feb 01, 2019 10:45Serikali ya Marekani imetangaza rasmi kusimamisha kwa muda utekelezaji wa mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF).
-
Onyo la Russia kuhusu kuingilia kijeshi Marekani mgogoro wa Venezuela
Jan 30, 2019 09:24Matukio ya kisiasa yaliyojiri karibuni katika nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta ya Venezuela na makabiliano yanayozidi kupamba moto baina ya wapinzani na serikali ya mrengo wa kushoto ya nchi hiyo yameingia kwenye awamu nyeti na hasasi.
-
Russia: Nchi za Magharibi zisifikirie kuingilia kijeshi Venezuela
Jan 30, 2019 03:01Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana usiku alizitaka nchi za Magharibi kuachana na mpango, fikra au dhana yoyote kwamba ipo haja ya kuingilia kijeshi huko Venezuela.