-
Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani
Jan 27, 2019 04:38Katika miaka ya karibuni Russia imezidisha pakubwa harakati zake katika eneo la Asia Magharibi na kaskazini mwa Afrika. Nukta muhimu kuhusu jitihada hizo za Russia ni kuimarisha uwepo wake wa kijeshi huko Syria tangu Septemba mwaka 2015 kwa lengo la kupambana na makundi ya kigaidi na kuiunga mkono serikali halali ya Syria.
-
Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw
Jan 24, 2019 00:35Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".
-
Mkuu wa Rossiya Segodnya ataka kuachiwa huru Marzieh Hashemi
Jan 21, 2019 08:59Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la habari la kimataifa la Rossiya Segodnya la Russia amesema kuwa kuna udharura wa vyombo vyote huru vya habari duniani kumtetea na kumuunga mkono mwandishi habari wa televisheni ya Press TV, Marzieh Hashemi anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya Marekani.
-
Russia yaionya Marekani na kuitaka iondoe manowari zake Bahari Nyeusi
Jan 21, 2019 04:28Russia imeionya vikali Marekani na kuotaka iondoe meli yake ya kivita ya USS Donald Cook ambayo iko katika Bahari Nyeusi.
-
Russia yakanusha madai ya Marekani kwamba imeipatia Korea Kaskazini teknolojia ya makombora
Jan 18, 2019 12:08Balozi wa Russia nchini Korea Kaskazini amekanusha tuhuma za viongozi wa Marekani dhidi ya nchi yake kwamba Moscow imeipatia Pyongyang teknolojia ya makombora na kuongeza kwamba, tuhuma hizo ni za kuudhi kama ambavyo hazina msingi wowote.
-
Russia: Marekani inabeba dhima ya hatima ya mkataba wa INF
Jan 18, 2019 00:22Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima ya hatima ya Mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati, (INF)
-
Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao
Jan 17, 2019 04:18Ripoti ya Benki ya Standard Chartered imedokeza kuwa, kuna uwezekano mkubwa China kuipiku Marekani na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani mwaka ujao wa 2020.
-
Onyo la Russia kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria
Jan 14, 2019 23:11Balozi wa Russia mjini Beirut ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendelea kuishambulia Syria kwa kutumia visingizio mbalimbali.
-
Russia: EU haijafuzu mtihani wa utekelezaji kivitendo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 12, 2019 00:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, Umoja wa Ulaya haujafaulu mtihani wa kuonyesha kuwa uko huru kivitendo katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Russia yatilia shaka tangazo la Marekani la kuanza kuondoa askari wake Syria
Jan 11, 2019 12:37Russia imetilia shaka tamko la Marekani kwamba imeanza mchakato wa kuondoa vikosi vyake nchini Syria.