-
Russia kufungua kituo cha kijeshi Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jan 11, 2019 12:25Russia inatafakari kufungua kituo cha kijeshi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambako tayari Moscow inaendelea kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Msemaji wa Rais wa Russia: Msisome habari za vyombo vya habari vya Israel
Jan 09, 2019 23:19Msemaji wa Rais wa Russia amejibu taarifa zilizotangazwa na vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba Moscow inaingilia uchaguzi wa utawala huo kwa kusema: Msisome habari za vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni.
-
Iran na Russia kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi
Jan 07, 2019 01:18Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran na Russia imepenga kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bahari ya Kaspi.
-
Russia: Magaidi karibu laki moja wameuawa Syria
Jan 04, 2019 04:18Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa, makumi ya maelfu ya magaidi wameuawa katika operesheni zilizofanywa na jeshi la nchi hiyo nchini Syria.
-
Saudia yatishia kuwaadhibu raia wake waliokwenda Russia na kukataa kurudi nyumbani
Dec 28, 2018 03:31Ubalozi wa Saudia mjini Moscow umetishia kuwa, Riyadh itawaadhibu vikali raia wa nchi hiyo waliokwenda kwenye mashindano ya fainali za kombe la dunia la mpira wa miguu nchini Russia na hadi hivi sasa wanang'ang'ania kubakia huko huko hawataki kurudi nchini Saudi Arabia.
-
Upinzani wa Berlin dhidi ya kuwekwa makombora ya nyuklia ya Marekani nchini Ujerumani
Dec 28, 2018 02:57Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 20 Oktoba mwaka huu alitangaza kuwa, nchi hiyo itajiondoa katika mkataba wa makombora ya nyuklia ya masafa ya kati maarufu kwa kifupi kwa jina la INF.
-
Kushadidi mivutano baina ya Russia na Ukraine; vikwazo na makabiliano ya kijeshi
Dec 26, 2018 05:05Tangu mwaka 2014 wakati hatamu za uongozi wa nchi ya Ukraine ziliposhikwa na serikali yenye mielekeo ya Kimagharibi na kuunganishwa eneo la Cremia na ardhi ya Russia, uhusiano wa Moscow na Kiev uliporomoka sana na kutawaliwa na mivutano mingi.
-
Russia: Tuna shaka kama Marekani imeamua kweli kuondoa vikosi vya jeshi lake nchini Syria
Dec 25, 2018 23:10Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika makao ya Umoja wa Mataifa ya mjini Geneva amesema: Haijabainika wazi tangazo la Marekani kuwa inaondoka nchini Syria lina ukweli kwa kiwango gani.
-
Russia: Marekani inawapa hifadhi magaidi katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu Syria
Dec 21, 2018 05:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Marekani inakwamisha juhudi za kutatua mgogoro wa Syria kwa kuendelea kuyakalia kwa mabavu baadhi ya maeneo ya nchi hiyo na kwamba magaidi wanapewa hifadhi katika maeneo yanayodhibitiwa na Marekani.
-
Baraza Kuu la UN lapasisha azimio dhidi ya Marekani
Dec 21, 2018 01:08Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio linaloitaka Marekani kukomesha hatua zilizo kinyume na sheria dhidi ya wawakilishi na maeneo ya kidiplomasia ya Russia nchini humo.