-
Malengo halisi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia
Nov 18, 2018 03:32Uhusiano wa Marekani na Russia tangu baada ya kumalizika Vita Baridi umekuwa na pandashuka nyingi na mivutano ya mara kwa mara. Tangu mwaka 2011 Marekani imekuwa ikiiwekea vikwazo Russia kwa kutumia visingizio mbalimbali.
-
Russia: Wakimbizi 270,000 wa Syria wamerejea nyumbani
Nov 16, 2018 11:23Jeshi la Russia limetangaza habari ya kurejea nyumbani wakimbizi zaidi ya laki mbili na 70 elfu wa Syria ndani ya miezi michache iliyopita.
-
Nchi 13 zinashindana kununua mfungo wa makombora wa Russia wa S-400
Nov 16, 2018 04:13Licha ya Marekani kutishia kuiwekea vikwazo zaidi Russia, tayari mataifa 13 yameonyesha utayarifu wao kwa ajili ya manunuzi ya ngao ya makombora ya S-400 ya nchi hiyo.
-
Russia na OIC zakubaliana kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi
Nov 10, 2018 11:01Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na pande mbili kukubaliana juu ya kushirikiana katika kupambana na ugaidi.
-
Mpango wa China na Russia wa kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani
Nov 09, 2018 23:09Mawaziri Wakuu wa China na Russia wamesisitiza juu ya azma ya nchi mbili ya kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani katika ngazi za kimataifa.
-
Mawaziri Wakuu wa China na Russia waazimia kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani
Nov 09, 2018 10:54Mawaziri Wakuu wa China na Russia wameazimia kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani duniani.
-
Lavrov atahadharisha kuhusu hatari ya ugaidi duniani
Nov 08, 2018 04:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ugaidi ungali upo kote ulimwenguni na ni jambo la hatari kwa nchi zote licha ya mafanikio yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya janga hilo.
-
Marekani, adui wa amani na usalama wa dunia
Oct 25, 2018 23:04Uamuzi uliochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani wa kujiondoa katika mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati (INF) ambao umechukuliwa katika fremu ya sera za Trump za kujiondoa katika mikataba ya kimataifa, umekabiliwa na upinzani mkubwa wa viongozi wa nchi na jumuiya mbalimbali za kimataifa.
-
Balozi wa Iran Russia: Nchi nyingi zinajitenga na utegemezi wa kiuchumi wa Marekani
Oct 23, 2018 23:22Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amesema kuwa, nchi nyingi za dunia kwa kutegemea uchumi wao wa kitaifa, zinafanya juhudi za kuacha kutegemea uchumi wa Marekani.
-
Malengo halisi ya Marekani ya kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati
Oct 23, 2018 09:46Tangazo la Marekani la kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati lililotolewa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo limekabiliwa na radiamali nyingi hasi katika uga wa kimataifa.