Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Ndege za kivita za kistratejia za Russia zapaa karibu na mipaka ya Marekani

    Ndege za kivita za kistratejia za Russia zapaa karibu na mipaka ya Marekani

    Aug 17, 2018 03:14

    Ndege za kivita za kistratejia za Russia zenye uwezo wa kurusha mabomu ya nyuklia zimepaa katika peninsula ya Chukotka mashariki kabisa mwa Russia karibu na eneo la Alaska katika mpaka wa nchi hiyo na Marekani.

  • Msimamo wa Russia kuhusu bajeti mpya ya jeshi ya Marekani

    Msimamo wa Russia kuhusu bajeti mpya ya jeshi ya Marekani

    Aug 16, 2018 05:23

    Bajeti ya masuala ya kijeshi isiyo na kifani ya dola bilioni 716 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani imekabiliwa na radiamali kali katika upeo wa kimataifa.

  • Sergey Lavrov: Marekani haitaki kutokomeza silaha zake za kemikali

    Sergey Lavrov: Marekani haitaki kutokomeza silaha zake za kemikali

    Aug 13, 2018 03:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kuwa Marekani inapinga kuangamiza silaha zake za kemikali.

  • Rouhani na Putin wabadilishana mawazo kuhusu masuala ya kikanda na kimataifa

    Rouhani na Putin wabadilishana mawazo kuhusu masuala ya kikanda na kimataifa

    Aug 12, 2018 09:07

    Marais wa Iran na Russia wamejadili na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya pande mbili, ya kikanda na kimataifa katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo kandokando ya mkutano wa 5 wa viongozi wa nchi za pwani mwa Bahari ya Kaspi unaofanyika nchini Kazakshtan.

  • Russia: Marekani inaweka vikwazo dhidi ya nchi nyingine ili kutatua matatizo yake ya kifedha

    Russia: Marekani inaweka vikwazo dhidi ya nchi nyingine ili kutatua matatizo yake ya kifedha

    Aug 11, 2018 22:04

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, Marekani inaziwekea vikwazo vya upande mmoja nchi nyingine kwa shabaha ya kuondoa matatizo yake ya kifedha na kuziba nakisi ya mapato yake.

  • Onyo la Russia kwa Marekani, kufuatia vikwazo vipya vya Washington dhidi ya Moscow

    Onyo la Russia kwa Marekani, kufuatia vikwazo vipya vya Washington dhidi ya Moscow

    Aug 11, 2018 01:49

    Dmitry Medvedev, Waziri Mkuu wa Russia amesema kuwa, kushadidishwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia, ni sawa na kutangaza vita vya kibiashara kwa nchi yake.

  • Libya yaiomba Russia iisaidie kutatua migogoro yake

    Libya yaiomba Russia iisaidie kutatua migogoro yake

    Aug 08, 2018 23:54

    Msemaji wa Jeshi la Taifa la Libya ameiomba serikali ya Russia iingilie mgogoro wa Libya kwa ajili ya kuutatua.

  • Russia yazipongeza nchi za Ulaya kwa kusimama imara kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia yazipongeza nchi za Ulaya kwa kusimama imara kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Aug 08, 2018 10:02

    Maafisa waandamizi wa Russia wamesema kuwa, upinzani wa nchi za Ulaya dhidi ya vikwazo vya Marekani kwa Iran unaonesha namna nchi za bara hilo zilivyo na nia thabiti ya kukabiliana na siasa za kujinufaisha upande mmoja za Washington.

  • Trump azidi kusakamwa, Russia nayo yaongeza ushuru wa bidhaa za Marekani

    Trump azidi kusakamwa, Russia nayo yaongeza ushuru wa bidhaa za Marekani

    Aug 05, 2018 20:50

    Serikali ya Russia imezipandishia ushuru bidhaa za Marekani ikiwa ni kujibu hatua ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump ya kuzipandishia ushuru bidhaa ya chuma cha pua na aluminium zinazoingizwa nchini Marekani kutokea Russia.

  • Russia: Chaguo la kijeshi halitasaidia kutatuliwa mgogoro nchini Yemen

    Russia: Chaguo la kijeshi halitasaidia kutatuliwa mgogoro nchini Yemen

    Aug 03, 2018 02:47

    Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, chaguo la kijeshi haliwezi kusaidia katika kutatua mgogoro wa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS