-
Russia yapinga matamshi ya Trump, Macron kuhusu makubaliano ya JCPOA
Apr 26, 2018 23:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amepinga matamshi yaliyotolewa na Marais wa Marekani na Ufaransa kuhusu suala la kufanyiwa mabadiliko makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Azma ya kimataifa kwa ajili ya kulinda mapatano ya JCPOA
Apr 26, 2018 08:41Huku tarehe 12 Mei ikiwa inakaribia, ambayo ni tarehe ya mwisho iliyoainishwa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, radiamali na harakati za serikali na viongozi wa kundi la 5+1 kwa ajili ya kulinda mapatano hayo zimeongezeka.
-
Kuundwa kundi la kuipiga vita Russia katika bunge la Uingereza
Apr 21, 2018 21:46Bunge la Uingereza limeunda kundi jipya la kuipiga vita Russia. Kundi hilo lililo dhidi ya Russia katika bunge la Uingereza limeundwa kwa kuwashirikisha wajumbe wa kamati sita wenye ushawishi katika bunge hilo wakiwemo wenyeviti wa kamati za ulinzi, masuala ya nje, fedha na usalama wa taifa. Aidha wajumbe wa kamati nyinginezo kama wa masuala ya ndani, utamaduni, vyombo vya habari na masuala ya dijitali pia wamo katika kundi hilo jipya dhidi ya Russia ndani ya bunge la Uingereza.
-
Russia: Marekani na washirika wake wanafanya njama nyingi kuigawa Syria
Apr 20, 2018 23:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amekosoa vikali misimamo ya uhasama ya Marekani ya kutaka ya kuisambaratisha nchi ya Syria.
-
Russia: Makundi ya kigaidi Syria yanawazuia wakaguzi wa OPCW kuingia Douma
Apr 19, 2018 09:57Nabu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi za kigeni huko Syria yanawazuia wakaguzi wa Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) kuingia katika mji wa Douma ulioko katika viunga ya mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus.
-
Russia: Madai ya shambulizi la silaha za kemikali Syria yaliratibiwa na majasusi wa Uingereza
Apr 17, 2018 09:54Mwakilishi wa Russia katika Shirika Linalopiga Marufuku Matumizi ya Silaha za Kemikali (OPCW) amesema madai ya kutumiwa silaha za kemikali katika eneo la Douma nchini Syria na yaliyotumika kama kisingizio cha kuishambulia nchi hiyo ya Kiarabu, ni operesheni ya mchezo mchafu iliyopangwa na kutekelezwa na asasi za kijasusi za Uingereza.
-
Msimamo mkali wa Russia dhidi ya mashambulizi ya nchi za Magharibi huko Syria
Apr 14, 2018 23:27Hatimaye nchi za Magharibi zimetekeleza vitisho vyao vya kuishambulia Syria. Alfajiri ya Jumamosi ya jana Marekani, Ufaransa na Uingereza zilishambulia kwa makombora maeneo kadhaa ya Syria.
-
Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria
Apr 14, 2018 02:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimelaani vikali mashambulizi ya makombora ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria huku zikitoa onyo kali juu ya matokeo mabaya ya hujuma hiyo ya kijeshi dhidi ya nchi huru.
-
Russia yaonya itakabiliana na chokochoko za Marekani Syria
Apr 10, 2018 12:18Mbunge wa ngazi za juu nchini Russia ameionya Marekani isichukue hatua zozote zilizo kinyume cha sheria nchini Syria kufuatia madai ya hivi karibuni ya kujiri hujuma ya silaha za kemikali katika mji unaoshikiliwa na magaidi wa Douma.
-
Araqchi: Marekani haiwezi kuchukua uamuzi peke yake kuhusu JCPOA
Apr 10, 2018 12:17Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema: makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hayapo kwa ajili ya Marekani hata iamue kuchukua uamuzi wowote itakao kuhusu makubaliano hayo.