-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia nchini Ethiopia
Mar 09, 2018 22:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amewasili Addis Ababa kwa shabaha ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Ethiopia.
-
Kitendawili cha jaribio la mauaji jasusi wa zamani wa Rassia chaanza kuteguliwa?
Mar 08, 2018 04:49Polisi ya Uingereza imetangaza kuwa, mtu aliyetaka kumuua afisa wa zamani wa vyombo vya ujasusi vya Russia ambaye baadaye imebainika kuwa alikuwa akiifanyia ujasusi Uingereza, alitumia gesi ya neva.
-
Russia yalaani tuhuma bandia za Wamagharibi dhidi ya Syria kuhusu silaha za kemikali
Mar 06, 2018 23:43Msemaji wa ikulu ya Rais wa Russia amelaani tuhuma za madola ya Magharibi dhidi ya Syria kuhusiana na suala la matumizi ya silaha za kemikali.
-
Ndege ya jeshi ya Russia yaanguka Syria, yaua watu 32
Mar 06, 2018 13:45Watu 32 wameuawa katika ajali ya ndege ya jeshi la Russia iliyoanguka nchini Syria.
-
Marais Donald Trump na Abdel Fattah el-Sisi waijadili Iran
Mar 05, 2018 04:26Ikulu ya Marekani imetangaza kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo asubuhi ya leo amefanya mazungumzo ya simu na Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri kuihusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Usalama wa Mashindano ya Kombe la Dunia la Soka watoa changamoto kwa Russia
Mar 01, 2018 01:08Rais wa Russia amelitaka Jeshi la Polisi la nchi hiyo kutumia uwezo wake wote kwa ajili ya kudhamini usalama wa michezo ya Kombe la Dunia la Soka nchini humo mbele ya mashambulizi ya kigaidi.
-
Russia yapigia veto muswada wa Uingereza dhidi ya Iran kuhusu Yemen
Feb 26, 2018 23:24Muswada wa azimio lililo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uliopendekezwa na Uingereza kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, umekwamishwa na kura ya veto ya Russia.
-
Rogozin: Russia ipo tayari kukabiliana na vikwazo
Feb 26, 2018 10:27Naibu Waziri Mkuu wa Russia amesema kuwa Moscow ipo tayari kukabiliana na vikwazo vya Magharibi.
-
Rais Putin awapongeza wanajeshi wa Russia walioko Syria
Feb 24, 2018 10:55Rais Vladimir Putin wa Russia amewapongeza na kuwashukuru wanajeshi wa nchi yake walioko nchini Syria.
-
Russia yazionya nchi za Magharibi zisijaribu kuingilia uchaguzi wa rais wa nchi hiyo
Feb 16, 2018 04:08Serikali ya Russia imeyaonya madola ya Magharibi kutoingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo hususan katika uchaguzi wa rais.