-
Russia kuimarisha nguvu zake za kijeshi nchini Syria
Dec 24, 2016 12:14Mbunge mmoja wa Russia amesema kuwa, Moscow imeamua kuimarisha nguvu zake za kijeshi nchini Syria.
-
Trump asisitiza udharura wa kuimarishwa uwezo wa silaha za nyuklia wa Marekani
Dec 24, 2016 03:59Rais mteule wa Marekani, Donald Trump Alkhamisi ya jana alitangaza kuwa, nchi hiyo inapaswa kuimarisha zaidi uwezo wake wa silaha za nyuklia maadamu ulimwengu haujapata mwelekeo wa kimantiki kuhusu silaha za atomiki.
-
Putin ampongeza Bashar Assad kwa kukombolewa kikamilifu Aleppo
Dec 23, 2016 23:37Rais Vladimir Putin wa Russia amempigia simu mwenzake wa Syria, Bashar al-Assad, na kumpongeza kutokana na kukombolewa kikamilifu mji wa Aleppo (Halab), uliokuwa ukishikiliwa na magaidi huko kaskazini mwa Syria.
-
Balozi wa Russia Cairo: Qur'ani na Uislamu havina uhusiano wowote na ugaidi
Dec 23, 2016 00:01Balozi wa Russia mjini Cairo, Misri amesema kuwa mafundisho ya Qur'ani tukufu hayana mfungamano wa aina yoyote ile ya ugaidi.
-
Assad: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Syria, Iran na Russia
Dec 22, 2016 11:15Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kukombolewa kikamilifu mji wa kistratejia wa Aleppo (Halab), kaskazini magharibi mwa nchi ni ushindi mkubwa sio tu kwa taifa hilo, bali pia kwa Iran na Russia.
-
Kundi la Daesh limetishia tena kuishambulia Russia
Dec 21, 2016 10:59Kundi la kigaidi la Daesh limetuma ujumbe na kutishia kuzishambulia balozi za Russia kote ulimwenguni.
-
Iran, UN zalaani mauaji ya balozi wa Russia nchini Uturuki
Dec 20, 2016 04:23Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya balozi wa Russia nchini Uturuki na kuutaja ukatili huo kama kitendo cha kikatili na kishenzi.
-
Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo dhidi ya Russia
Dec 19, 2016 23:35Umoja wa Ulaya umeongeza muda wa vikwazo dhidi ya Russia.
-
Balozi wa Russia nchini Uturuki amiminiwa risasi nane na kuuawa
Dec 19, 2016 15:19Balozi wa Russia nchini Uturuki amepigwa risasi na kuaga duani kwa majeraha baada ya kumiminiwa risasi wakati alipokuwa akihutubia kwenye maonyesho ya katika mji mkuu wa nchi hiyo Ankara.
-
Wito wa Mogherini wa kutaka EU na Russia ziwe na msimamo mmoja kuhusiana na JCPOA
Dec 17, 2016 03:43Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametaka kuwepo na msimamo mmoja baina ya umoja huo na Russia katika kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kukabiliana na hatua yoyote ya kukwamisha utekelezaji wa makubaliano hayo.