Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Marekani inafanya propaganda chafu kuhusu hospitali za Aleppo

    Russia: Marekani inafanya propaganda chafu kuhusu hospitali za Aleppo

    Nov 20, 2016 00:54

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, madai ya kushambuliwa hospitali katika mji wa Aleppo nchini Syria ni wenzo wa kipropaganda unaotumiwa na Marekani dhidi ya serikali ya Moscow.

  • Kukasirishwa nchi za Magharibi na uamuzi wa Russia wa kujitoa ICC

    Kukasirishwa nchi za Magharibi na uamuzi wa Russia wa kujitoa ICC

    Nov 18, 2016 23:18

    Hatua ya Russia ya kutangaza kujitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imezikasirisha nchi za Magharibi za Ulaya na Marekani.

  • Ufilipino kujiunga na Russia na nchi za Afrika dhidi ya ICC

    Ufilipino kujiunga na Russia na nchi za Afrika dhidi ya ICC

    Nov 18, 2016 04:15

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema huenda taifa lake likafuata mkondo wa Russia na kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.

  • Filamu ya Mtume Muhammad (saw) yaendelea kuzinduliwa duniani, mara hii ni Chechnya

    Filamu ya Mtume Muhammad (saw) yaendelea kuzinduliwa duniani, mara hii ni Chechnya

    Nov 15, 2016 23:24

    Filamu ya Mtume wa Mwenyezi Mungu Muhammad (saw) iliyotengenezwa na Majid Majidi, mtengeneza filamu wa nchini Iran, itazinduliwa hivi karibuni huko Jamhuri ya Dagestan, eneo la Chechnya nchini Russia.

  • Rouhani: Iran na Russia zitaendelea kupambana na ugaidi

    Rouhani: Iran na Russia zitaendelea kupambana na ugaidi

    Nov 15, 2016 01:06

    Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Russia zitaendelea kuwa na ushirikiano wa kistratajia katika kupambana na ugaidi katika eneo hili la Mashariki ya Kati.

  • Diplomasia ya Russia; kustawisha uhusiano na Iran

    Diplomasia ya Russia; kustawisha uhusiano na Iran

    Nov 14, 2016 23:20

    Katika kipindi hiki, Tehran imekuwa ikifikiwa na ugeni wa viongozi na maafisa wa nchi mbalimbali za Ulaya. Wakati László Kövér, Spika wa bunge la Hungary akiwa bado mjini Tehran kwa mazungumzo na mashauriano na maafisa wa Iran juu ya uhusiano wa mabunge ya nchi mbili Mwenyekiti wa Baraza la Shirikisho la Russia Valentina Ivanovna Matvienko, naye pia amewasili Tehran kwa safari rasmi ya kikazi.

  • Larijani: Uhusiano wa Iran na Russia unaridhisha mno

    Larijani: Uhusiano wa Iran na Russia unaridhisha mno

    Nov 14, 2016 04:29

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema uhusiano wa pande mbili kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia ni wa kuridhisha mno.

  • Russia: Marekani inalenga makazi ya raia Mosul, Iraq

    Russia: Marekani inalenga makazi ya raia Mosul, Iraq

    Nov 04, 2016 01:07

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa mashambulizi ya ndege za kivita za Marekani na washirika wake yanalenga zaidi makazi ya raia katika mji wa Mosul nchini Iraq.

  • Luteka ya pamoja ya kijeshi ya Russia na Misri yamalizika

    Luteka ya pamoja ya kijeshi ya Russia na Misri yamalizika

    Oct 26, 2016 11:47

    Televisheni ya al Ekhbariya ya nchini Syria imetangaza habari ya kumalizika mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya Misri na Russia yaliyobeba kaulimbiu ya "Walinzi wa Urafiki 2016."

  • Kiongozi wa Masuni Russia aunga mkono juhudi za Iran za kukurubisha madhehebu za Kiislamu

    Kiongozi wa Masuni Russia aunga mkono juhudi za Iran za kukurubisha madhehebu za Kiislamu

    Oct 20, 2016 04:19

    Mkuu wa Baraza la Mamufti la Russia amesema ushirikiano wa kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu uliopo baina ya baraza hilo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wenye thamani kubwa na kuongeza kuwa uhusiano huo umekuwa na mafanikio mengi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS