-
Russia yaionya Marekani dhidi ya kuwatoa magaidi Iraq hadi Syria
Oct 20, 2016 00:34Russia imeionya Marekani dhidi ya kuwafurusha wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kutoka Iraq hadi Syria, katika mashambulizi yake ya kuukomboa mji wa Mosul, kaskazini mwa Iraq.
-
Russia: Hatuna matumaini ya kufanikiwa mazungumzo ya Lausanne
Oct 15, 2016 00:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametabiri kuwa mazungumzo yatakayofanyika leo (Jumamosi) katika mji wa Lausanne nchini Uswisi kuhusu Syria hayatakuwa na natija ya maana.
-
Wanajeshi wa Russia wawasili Misri kwa ajili ya manuva ya kijeshi
Oct 14, 2016 10:55Kundi moja la wanajeshi maalumu wa kikosi cha anga wa Russia wamewasili Misri kwa lengo la kushiriki kwenye manuva ya kijeshi dhidi ya ugaidi.
-
Russia yaionya vikali Marekani, yasema haiwezi kukabiliana na S300, S400
Oct 07, 2016 04:27Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia, Igor Konashenkov amesema kuwa, shambulio lolote la kombora au la anga litakalolenga maeneo ya jeshi la serikali ya Syria, litakuwa linahatarisha majeshi ya Russia na Syria kwa pamoja.
-
Russia yatoa pendekezo la kusuluhisha mgogoro wa Libya
Oct 05, 2016 11:18Russia yapendekeza kuwa msuluhishi katika mgogoro wa Libya
-
Russia: Kauli ya Marekani ni dhihirisho kuwa inaunga mkono ugaidi
Sep 29, 2016 10:50Serikali ya Moscow imesema matamshi ya hivi karibuni ya Marekani kuwa magaidi wa Daesh wanaofanya mashambulizi dhidi ya Syria yumkini wakaanza kuishambulia miji ya Russia ni ithibati tosha kuwa Washington inaunga mkono ugaidi.
-
Russia yakosoa vikali matamshi ya Marekani na Magharibi katika Umoja wa Mataifa
Sep 26, 2016 11:02Russia imekosoa matamshi yaliyotolewa na Mabalozi wa Marekani, Uingereza na Ufaransa katika Umoja wa Mataifa kwa mashambulizi ya jeshi la Russia katika ngome za makundi ya kigaidi huko Syria.
-
Russia: Shambulio dhidi ya vikosi vya Syria linahatarisha makubaliano ya usitishaji vita
Sep 18, 2016 09:54Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imeonya kuwa shambulio la muungano unaoongozwa na Marekani dhidi ya vikosi vya jeshi la Syria linahatarisha makubaliano ya usitishaji vita katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Sarkozy: Ulaya inaihitajia Russia ili kutatua mgogoro wa Syria
Sep 18, 2016 02:55Rais wa zamani wa Ufaransa amesema kuwa Ulaya inapasa kushirikiana na Russia ili kuweza kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.
-
Russia yatahadharisha kuhusu kuchelewa kuanza tena mazungumzo ya Syria
Sep 13, 2016 23:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kuchelewa kuanza tena mazungumzo ya Syria ni jambo lisilokubalika.