-
Russia: Ukraine imeingia Kursk kwa ushirikiano wa mashirika ya ujasusi ya Magharibi
Aug 24, 2024 02:12Idara ya Ujasusi wa Nje ya Russia (FIS) imetangaza kwamba kuingia Ukraine katika eneo la nchi hiyo katika jimbo la Kursk kulifanywa kwa ushirikiano wa mashirika ya ujasusi ya nchi za Magharibi.
-
Putin aamua kusimamisha kikamilifu mazungumzo na Ukraine baada ya Kyiv kuivamia Russia
Aug 13, 2024 10:44Rais Vladimir Putin wa Russia ameamua kusimamisha kikamilu mazungumzo na Ukraine baada ya nchi hiyo kushambulia taasisi za nyuklia za Russia.
-
Russia yatungua makumi ya droni za Ukraine katika anga yake
Aug 11, 2024 11:13Russia imetungua makumi ya droni za Ukraine zilizokuwa zikiruka katika anga yake usiku wa kuamkia leo.
-
Iran na Russia katika mkondo wa kuimarisha ushirikiano
Aug 06, 2024 14:12Jumatatu ya jana tarehe 5 Agosti, Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Shirikisho la Russia aliwasili mjini Tehran kwa lengo la kuimarisha maingiliano na kuchunguza masuala ya kieneo, kimataifa na uhusiano wa pande mbili.
-
Rais Pezeshkian: Kuimarisha uhusiano na Russia ni 'kipaumbele cha sera za nje' kwa Iran
Aug 06, 2024 03:23Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Russia kuwa ni "mshirika wa kimkakati" wa Jamhuri ya Kiislamu, akisisitiza kwamba kupanuliwa uhusiano na Moscow ni kipaumbele cha juu cha sera za nje za serikali yake.
-
Vladimir Putin atahadharisha kuhusu hali mbaya ya Asia Magharibi
Jul 25, 2024 11:20Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuhusu hali inayozidi kutokota ya eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu
Jul 21, 2024 02:30Balozi wa Russia nchini Marekani, Anatoly Antonov, amesema nchi za Magharibi zinapinga juhudi za kuundwa muundo mpya wa pande kadhaa ambao utakuwa na insafu na uadilifu zaidi.
-
BRICS, msingi wa Uhusiano wa Kimkakati kati ya Iran na Russia
Jul 14, 2024 02:56Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) na BRICS umeweka msingi wa kuendelea zaidi uhusiano na ushirikiano wa kistratijia wa Tehran na Moscow.
-
Mokhber: Uhusiano wa kimkakati wa Iran, Russia umebadilisha milingano ya dunia
Jul 05, 2024 02:56Kaimu Rais wa Iran amesema uhusiano wa kistratajia baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia umebadilisha mlingano wa nguvu duniani, na kukabiliana na mfumo usio wa kiadilifu na unaoegemea upande mmoja wa Marekani.
-
Kuendeleza uhusiano kati ya Iran na Russia; Mhimili wa mashauriano ya Ali Bagheri Kani na Sergey Lavrov
Jun 29, 2024 07:18Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia wamesisitiza udharura wa kupanuliwa uhusiano kati ya Tehran na Moscow.