-
Russia: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia inazidi kuongezeka
Jun 26, 2024 11:49Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametahadharisha kuwa, madola yenye silaha za nyuklia yapo katika hatari ya kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja.
-
Kushadidi mivutano ya kijeshi baina ya Russia na Marekani
Jun 24, 2024 03:29Mvutano wa kijeshi na kiusalama kati ya Russia na Marekani umeongezeka kutokana na hatua za kiuhasama za Washington dhidi ya Moscow, hasa baada ya Washington kuiruhusu Ukraine kushambulia ardhi ya Russia kwa kutumia silaha za Marekani.
-
Uanachama katika shirika la BRICS kuwekewa masharti
Jun 22, 2024 06:50Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza masharti mapya kwa nchi zinazotaka kujiunga na jumuiya ya BRICS.
-
Russia: Wamagharibi karibuni watamtosa Rais Zelensky wa Ukraine
Jun 21, 2024 02:15Idara ya Intelijensia ya Nje ya Russia (SVR) imefichua kuwa, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ni mwanasiasa tegemezi kwa Magharibi, na kwamba karibuni hivi, Marekani pamoja na waitifaki wake 'watamtoa kafara' kiongozi huyo pasi na kujali kitu chochote.
-
Russia: Ukraine katu haitajiunga na shirika la kijeshi la NATO
Jun 19, 2024 12:17Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa Ukraine kuwa mwanachama wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO.
-
Russia yatungua makumi ya droni, maroketi ya Ukraine
Jun 17, 2024 02:58Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imetungua maroketi na ndege kadhaa zisizo na rubani za Ukraine (droni) ndani ya saa 24.
-
Mkuu wa NATO: Hatutatuma wanajeshi Ukraine
Jun 07, 2024 02:45Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO amesema muungano huo wa kijeshi wa Wamagharibi hauna mpango wa kutuma wanajeshi wake nchini Ukraine.
-
Iran, China na Russia zazitaka nchi za Magharibi zianze tena kutekeleza makubaliano ya nyuklia
Jun 05, 2024 07:28Iran, China na Russia zimesisitiza kuwa, vifungu vya mkataba wa nyuklia wa JCPOA vingali vina itibari na kuzishauri nchi za Magharibi ambazo zimekwamisha utekelezaji wa mapatano hayo kwa kutochukua hatua na kukhalifu kutekeleza ahadi na majukumu yao, zionyeshe utashi wa kisiasa na kuchukua hatua zinazohitajika ili kuanza kutekeleza tena makubaliano hayo.
-
NATO yaituhumu China kuwa inachochea moto wa vita Ulaya kwa kuiunga mkono Russia
May 26, 2024 11:15Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la Magharibi NATO Jens Stoltenberg ameituhumu China kwamba inachochea vita barani Ulaya kwa kuiunga mkono Russia dhidi ya Ukraine.
-
Putin: Kifo cha Raisi ni pigo kubwa; nitaendelea kuimarisha uhusiano na Iran
May 22, 2024 10:27Rais Vladimir Putin wa Russia ameeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa sana na kifo cha Rais Ebrahim Raisi wa Iran na kusema ni pigo kubwa kwa taifa.