-
Russia: Jamii ya kimataifa iendelee kuzishinikiza Marekani na utawala wa Kizayuni
May 21, 2024 12:07Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa jamii ya kimataifa inapasa kuendeleza mashinikizo kwa Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Russia yaishambulia US kwa kukosoa waranti wa kukamatwa Netanyahu
May 21, 2024 07:18Russia imekosoa vikali radiamali hasi ya Marekani kwa ombi la Karim Khan, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), la kutaka kutolewa waranti wa kumtia nguvuni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Russia: Umoja wa Ulaya hauna uvumilivu katika suala la uhuru wa kutoa maoni
May 19, 2024 10:39Spika wa Bunge la Russia Duma ameushutumu Umoja wa Ulaya (EU) kwa kubana maoni mbadala na kuminya uhuru wa kujieleza kwa lengo la kuwahadaa raia.
-
Russia: Magharibi inacheza na moto
May 18, 2024 12:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametangaza kwamba nchi za Magharibi zinataka kuzidisha mvutano na zinacheza na moto kwa kuipatia silaha na kuihimiza Ukraine kushambulia ardhi ya Russia.
-
Balozi wa Russia UN: Mashambulizi ya Magharibi dhidi ya Yemen ni kinyume cha sheria
May 15, 2024 06:08Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa mashambulizi ya muungano wa nchi za Magharibi unaoongozwa na Marekani dhidi ya Yemen yamekiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na hayana uhalali wowote.
-
Askari 1,400 wa Ukraine wauawa Donetsk, Luhansk ndani ya saa 24
May 14, 2024 10:24Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza habari ya kuuawa wanajeshi 1,400 wa Ukraine katika muda wa saa 24 katika maeneo ya mashariki ya Luhansk na Donetsk, yaliyojitangazia uhuru mwaka 2014, baada ya kutokea mapinduzi nchini Ukraine.
-
Russia yatangaza, imeharibu kambi 2 za magaidi nchini Syria
May 06, 2024 10:42Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imeharibu kambi mbili za magaidi wanaosaidiwa na Marekani huko magharibi mwa Syria.
-
Russia yaruhusu wanawake Waislamu wanaoomba uraia kutumia picha za vazi la Hijabu
May 01, 2024 10:52Serikali ya Russia imelegeza masharti ya kanuni zinazohusu maombi ya raia wa kigeni wanaoomba uraia, na itaruhusu mwanamke wa Kiislamu kutumia picha za paspoti zinazomuonesha akiwa amevaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia: Ukraine imeshapoteza karibu askari nusu milioni
Apr 24, 2024 02:43Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergey Shoigu amesema, hasara za kijeshi ilizopata Ukraine za kuuawa askari wake tangu Februari 2022 hadi sasa zimefikia karibu wanajeshi 500,000.
-
Onyo jipya kuhusu kuingia NATO katika vita vya Ukraine
Apr 23, 2024 04:25Viktor Orbán, Waziri Mkuu wa Hungary amesema katika taarifa kwamba viongozi wa Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Kujihami ya Kijeshi ya Magharibi (NATO) wanauchukulia mzozo wa Moscow na Kyiv kuwa ni wao na wala hawazingatii hatari ya kujihusisha na mzozo huo. Ameonya kuwa NATO inakaribia kutuma askari wake huko Ukraine.