-
Mufti Mkuu wa Russia: Kiongozi Muadhamu wa Iran anastahiki kupongezwa
Apr 22, 2024 02:32Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu ya Russia amesema kuwa, mwito unaotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei wa kuwataka watu wote duniani kuthamini masuala ya kidini na kimaadili unastahiki kupongezwa.
-
Russia yakumbwa na mafuriko; nyumba zaidi ya elfu 15 zazama majini
Apr 16, 2024 02:52Maafisa wa Russia wa Idara ya Kukabiliana na Majanga ya Kimaumbile wameeleza kuwa idadi ya nyumba zilizozama kutokana na mafuriko nchini humo imepindukia 15,000.
-
Russia yakosoa kimya cha Baraza la Usalama baada ya shambulio la Israel katika ubalozi mdogo wa Iran, Syria
Apr 15, 2024 04:28Russia imekosoa hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kushindwa kuchukua hatua inayofaa baada ya utawala wa Israel kushambulia jengo la ubalozi mdogo wa Iran huko Damascus mji mkuu wa Syria.
-
Russia yataka kutekelezwa haraka amri ya Umoja wa Mataifa ya kukomeshwa vita Ghaza
Apr 11, 2024 09:54Russia imetaka kutekelezwa haraka na bila ya masharti azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu kusimamishwa mara moja mashambulizi ya Israel kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Rais wa Marekani aona "fakhari kubwa" NATO kujipanua hadi kwenye mipaka ya Russia
Apr 11, 2024 07:53Rais Joe Biden wa Marekani amepongeza upanuzi zaidi wa shirika la kijeshi la NATO kuelekea mipaka ya Russia, huku akimshutumu mpinzani wake wa Republican Donald Trump kwamba amedhoofisha umoja wa kambi hiyo ya kijeshi inayoongozwa na Marekani.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia amuonya mwenzake wa Ufaransa kutopeleka wanajeshi Ukraine
Apr 05, 2024 02:19Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergey Shoygu amemuonya mwenzake wa Ufaransa Sebastian Lecornu dhidi ya kutuma wanajeshi wa nchi hiyo Ukraine.
-
Shambulizi la Moscow... Russia yaitaka Kiev kumkabidhi mkuu wa usalama
Apr 01, 2024 10:43Russia imeitaka Ukraine kuwakabidhi raia wake kadhaa, akiwemo Mkuu wa Idara ya Usalama ya nchi hiyo, kwa madai kwamba walihusika na vitendo vya "kigaidi" katika ardhi ya Russia, suala ambalo Kiev imelitaja kuwa takwa"lisilo na thamani".
-
Putin: 'Ni upuuzi tu' kudai kwamba Russia inapanga kuishambulia kijeshi NATO
Mar 28, 2024 10:08Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake haina nia ya kuingia kwenye makabiliano ya kijeshi na vibaraka wa Marekani wa Ulaya Mashariki.
-
Moscow: EU imekiri kuwa inahudumia ubeberu wa Marekani
Mar 27, 2024 02:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema matamshi ya karibuni ya Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ni ungamo la Magharibi kwamba inajihusisha na mgogoro wa Ukraine ili kuisaidia Marekani kudumisha nafasi yake ya ubeberu duniani.
-
Kijana, Islam, aliyeokoa watu zaidi 100 katika hujuma ya kigaidi ya Moscow apewa nishani ya ushujaa
Mar 25, 2024 02:12Kijana Muislamu mwenye umri wa miaka 15 aliyeokoa zaidi ya watu mia moja wakati wa hujuma ya kigaidi kwenye ukumbi wa tamasha wa Crocus City Hall nje kidogo ya jiji la Moscow, siku ya Ijumaa iliyopita, ametunukiwa nishani ya ushujaa.