Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Rais Pezeshkian: Kuimarisha uhusiano na Russia ni 'kipaumbele cha sera za nje' kwa Iran

    Rais Pezeshkian: Kuimarisha uhusiano na Russia ni 'kipaumbele cha sera za nje' kwa Iran

    Aug 05, 2024 23:53

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Russia kuwa ni "mshirika wa kimkakati" wa Jamhuri ya Kiislamu, akisisitiza kwamba kupanuliwa uhusiano na Moscow ni kipaumbele cha juu cha sera za nje za serikali yake.

  • Vladimir Putin atahadharisha kuhusu hali mbaya ya Asia Magharibi

    Vladimir Putin atahadharisha kuhusu hali mbaya ya Asia Magharibi

    Jul 25, 2024 07:50

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuhusu hali inayozidi kutokota ya eneo la Magharibi mwa Asia.

  • Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu

    Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu

    Jul 20, 2024 23:00

    Balozi wa Russia nchini Marekani, Anatoly Antonov, amesema nchi za Magharibi zinapinga juhudi za kuundwa muundo mpya wa pande kadhaa ambao utakuwa na insafu na uadilifu zaidi.

  • BRICS, msingi wa Uhusiano wa Kimkakati kati ya Iran na Russia

    BRICS, msingi wa Uhusiano wa Kimkakati kati ya Iran na Russia

    Jul 13, 2024 23:26

    Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) na BRICS umeweka msingi wa kuendelea zaidi uhusiano na ushirikiano wa kistratijia wa Tehran na Moscow.

  • Mokhber: Uhusiano wa kimkakati wa Iran, Russia umebadilisha milingano ya dunia

    Mokhber: Uhusiano wa kimkakati wa Iran, Russia umebadilisha milingano ya dunia

    Jul 04, 2024 23:26

    Kaimu Rais wa Iran amesema uhusiano wa kistratajia baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia umebadilisha mlingano wa nguvu duniani, na kukabiliana na mfumo usio wa kiadilifu na unaoegemea upande mmoja wa Marekani.

  • Kuendeleza uhusiano kati ya Iran na Russia; Mhimili wa mashauriano ya Ali Bagheri Kani na Sergey Lavrov

    Kuendeleza uhusiano kati ya Iran na Russia; Mhimili wa mashauriano ya Ali Bagheri Kani na Sergey Lavrov

    Jun 29, 2024 03:48

    Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia wamesisitiza udharura wa kupanuliwa uhusiano kati ya Tehran na Moscow.

  • Russia: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia inazidi kuongezeka

    Russia: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia inazidi kuongezeka

    Jun 26, 2024 08:19

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametahadharisha kuwa, madola yenye silaha za nyuklia yapo katika hatari ya kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja.

  • Kushadidi mivutano ya kijeshi baina ya Russia na Marekani

    Kushadidi mivutano ya kijeshi baina ya Russia na Marekani

    Jun 23, 2024 23:59

    Mvutano wa kijeshi na kiusalama kati ya Russia na Marekani umeongezeka kutokana na hatua za kiuhasama za Washington dhidi ya Moscow, hasa baada ya Washington kuiruhusu Ukraine kushambulia ardhi ya Russia kwa kutumia silaha za Marekani.

  • Uanachama katika shirika la BRICS kuwekewa masharti

    Uanachama katika shirika la BRICS kuwekewa masharti

    Jun 22, 2024 03:20

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza masharti mapya kwa nchi zinazotaka kujiunga na jumuiya ya BRICS.

  • Russia: Wamagharibi karibuni watamtosa Rais Zelensky wa Ukraine

    Russia: Wamagharibi karibuni watamtosa Rais Zelensky wa Ukraine

    Jun 20, 2024 22:45

    Idara ya Intelijensia ya Nje ya Russia (SVR) imefichua kuwa, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ni mwanasiasa tegemezi kwa Magharibi, na kwamba karibuni hivi, Marekani pamoja na waitifaki wake 'watamtoa kafara' kiongozi huyo pasi na kujali kitu chochote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS