-
Putin aonya juu ya hatari "halisi" ya vita vya nyuklia baina ya Russia na Magharibi
Mar 01, 2024 06:47Rais Vladmir Putin wa Russia ameziambia nchi za Magharibi kuwa, ziko hatarini kuzusha vita vya nyuklia iwapo zitatuma wanajeshi kupigana nchini Ukraine, akionya kwamba Moscow ina silaha za kushambulia maeneo ya Magharibi.
-
Ukraine yakanusha uvumi kwamba Iran imeiuzia Russia makombora ya balestiki
Feb 26, 2024 11:47Mkuu wa Idara ya Intelijensia ya Jeshi la Ukraine amekadhibisha uvumi kwamba Iran imeiuzia Russia makombora ya balestiki kwa ajili ya kutumika katika vita vya Ukraine.
-
Kremlin: Biden ameifedhehesha Marekani kwa kumtusi Putin
Feb 23, 2024 03:30Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema Rais Joe Biden wa Marekani amelifedhehesha taifa lake analoliongoza kwa hatua yake ya kumtukana hadharani Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Wananchi wa Ulaya wakata tamaa, hawatarajii kupata ushindi Ukraine
Feb 22, 2024 11:32Matokeo ya uchunguzi wa karibuni kabisa wa maoni yanaonesha kuwa, ni asilimia 10 tu ya wananchi wa nchi za Ulaya wanaoamini kwamba Ukraine inaweza kushinda kwenye vita vyake na Russia.
-
Russia: Makubaliano ya JCPOA hayana mbadala wake
Feb 20, 2024 12:53Balozi na Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao huko Vienna nchini Austria amesema njia pekee ya kuyahuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kuyarejesha katika hali yake ya asili.
-
Medvedev atishia kushambulia Washington, London na Berlin ikiwa Russia italazimishwa kuondoka Ukraine
Feb 19, 2024 11:42Rais wa zamani wa Russia Dmitry Medvedev ametishia Washington, Berlin, London na Kiev kushambuliwa kwa silaha za nyuklia ikiwa Russia italazimishwa kujiondoa Ukraine.
-
Putin: Russia iko tayari kumaliza mzozo na Ukraine
Feb 19, 2024 02:25Rais wa Russia amesema kuwa Moscow iko tayari kumaliza vita na Kiev kwa amani, lakini hakuna dalili kwamba Ukraine inataka amani.
-
Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso: Iran ni kigezo cha muqawama
Feb 10, 2024 10:41Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso ameshiriki katika sherehe za madhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo bora cha utawala, muqawama, ushujaa na mapambano.
-
Russia, China: US inahatarisha usalama wa Asia Magharibi
Feb 06, 2024 11:00Russia na China zimelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Iraq na Syria na kusisitiza kuwa, Washington ni tishio kwa usalama wa eneo zima la Asia Magharibi.
-
Mpango wa kupora mali za Russia ili kufidia hasara za vita vya Ukraine kuwasilishwa katika G7
Feb 05, 2024 06:45Serikali ya Ubelgiji imetangaza kuwa imewasilisha pendekezo kwa wawakilishi wa nchi za Magharibi na wa Kundi la G7 la kutaifisha mali za Russia ili kufidia hasara za vita vya Ukraine.