-
Kufichuliwa hitilafu kati ya Berlin na Washington kuhusu Ukraine
Jan 29, 2022 23:08Gazeti la Ishpigel la nchini Ujerumani limeripoti kuwa Emily Haber Balozi wa Ujerumani mjini Washington ametuma barua ya siri kwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ujerumani akisistiza kuwa Washington inaitambua Ujerumani kama nchi muitifaki asiyeaminika kutokana na kushindwa kutoa ushirikiano unaohitajika kuhusu kadhia ya Ukraine.
-
Takwa la Russia kwa ajili ya kuondoka haraka vikosi vamizi ajinabi huko Syria
Jan 29, 2022 08:46Dmitry Polyanskiy Naibu Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika hotuba yake katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa Russia inataka kuondoka haraka iwezekanavyo vikosi vyote vamizi ajinabi ambavyo vipo kinyume cha sheria huko Syria.
-
Russia yatoa wito wa kuondoka majeshi ya kigeni katika ardhi ya Syria
Jan 28, 2022 03:20Naibu mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuondoka mara moja wanajeshi wote wa kigeni walioko nchini Syria.
-
Rekodi ya utendaji kazi ya Joe Biden, mwaka mmoja wa kuwa madarakani
Jan 21, 2022 23:09Rais Joe Biden wa chama cha Democrat aliingia madarakani mwaka mmoja uliopita mnamo Januari 20, 2021, huku akitoa ahadi nyingi, hasa za kubadilisha hatua zilizochukuliwa na mtangulizi wake, Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani wa chama cha Republican.
-
Khatibzadeh: Mambo muhimu bado yamebakia katika suala la kuondolewa vikwazo Iran
Jan 17, 2022 11:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, masuala muhimu na ya kimsingi katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna Austria bado yamebakia ambapo panahitajika maamuzi maalumu ya kisiasa hususan kutoka upande wa Marekani.
-
Mkutano usio na matunda wa Russia-NATO na kuongezeka kwa mizozo ya pande mbili
Jan 14, 2022 21:14Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Alexander Grushko, ameuambia mkutano wa waandishi wa habari mjini Brussels mwishoni mwa mkutano wa Russia na NATO siku ya Jumatano kwamba, hitilafu za pande mbili zilikuwa wazi na kwamba katika kikao hicho kumejitokeza hitilafu nyingi.
-
Ahadi ya Marekani ya kuilinda Ukraine
Jan 03, 2022 23:15Jumapili iliyopita Rais wa Marekani Joe Biden alizungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelinsky, na kujadili jinsi Marekani na washirika wake watakavyojibu shambulio lolote la kijeshi la Russia dhidi ya nchi hiyo.
-
Rais wa Iran kuitembelea Russia kufuatia mwaliko wa Putin
Dec 29, 2021 04:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kuitembelea Russia mapema mwaka ujao 2022, kufuatia mwaliko wa mwenzake wa nchi hiyo, Vladimir Putin.
-
Lavrov: Haiyumkiniki Russia kujiunga na shirika la kijeshi la NATO
Dec 27, 2021 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema haiyumkiniki nchi hiyo kujiunga na shirika la kijeshi la NATO.
-
Putin akosoa hujuma dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Dec 24, 2021 12:25Rais wa Russia amekosoa hatua za kuhujumu na kupiga ita Uislamu na matukufu ya din hiyo katika nchi za Magharibi.