-
Russia na China: Demokrasia ya Kimarekani itashadidisha makabiliano ya kiidiolojia
Nov 27, 2021 09:02Mabalozi wa Russia na China nchini Marekani wamesema, kufanyika kongamano la demokrasia nchini humo kutashadidisha makabiliano ya kiidiolojia duniani.
-
Uturuki: Tuna haki kama zilivyo Russia na Marekani ya kuwepo kijeshi nchini Syria
Oct 02, 2021 08:52Msemaji wa rais wa Uturuki amedai kuwa, nchi hiyo, kama zilivyo Russia na Marekani, ina haki ya kuwepo kijeshi katika ardhi ya Syria.
-
Russia: Kujiondoa Marekani JCPOA kunaonesha haiwezi kutekeleza mapatano
Mar 22, 2021 06:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kitendo cha Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA kinaashiria namna Washington haiwezi kuheshimu wala kutekeleza mapatano na mikataba ya kimataifa inayoyafunga.
-
Russia: Marekani inapasa kuomba radhi kwa kumtukana Putin
Mar 18, 2021 23:05Naibu Mkuu wa Baraza la Shirikisho (Bunge la Seneti la Russia) ametangaza kuwa, Marekani inapaswa kuomba radhi kwa hatua yake ya kumtukana Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Russia: Marekani haina haki ya kuwafunza wengine akhlaqi
Mar 03, 2021 04:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amekosa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya nchi hiyo na kueleza kuwa, Marekani haina haki na haistahili kutoa darsa ya akhlaqi kwa nchi nyingine kutokana na hatua yake ya kujitoa kwa upande mmoja katika mikataba na makubaliano mbalimbali ya kimataifa yanayohusu kudhibiti na kupiga marufuku uenezaji wa silaha za maangamizi duniani.
-
Moscow: Marekani na Ulaya zikome kuingia masuala ya ndani ya Russia
Feb 18, 2021 03:38Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imetangaza kuwa misimamo ya maafisa wa nchi za Magharibi kuhusiana na takwa la kuachiwa huru mpinzani wa serikali ya Moscow anayeshikiwa na vyombo vya dola ni kielelezo cha uingiliaji kati katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Putin: Mfumo wa dunia unabadilika, Marekani nayo itasombwa na mabadiliko hayo
Oct 23, 2020 07:30Rais wa Russia amesema kuwa udhibiti wa madola makubwa duniani umefikia kikomo na kwamba Moscow itajibu hatua yoyote ile ya kihasa na serikali ya Washington.
-
Makubaliano ya awali baina ya Russia na Marekani ya kuendeleza mkataba wa New START
Oct 10, 2020 06:00Baada ya Donald Trump kushika madaraka ya nchi huko Marekani mwaka 2017, nchi hiyo ilianza kujiondoa katika makubaliano ya kudhibiti silaha. Kwa sasa mkataba pekee uliobakia wa New START pia unakabiliwa na hatari ya kusambaratika.
-
Russia yatahadharisha kuhusu hatua mbaya za Marekani huko Syria
Oct 06, 2020 03:56Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia ametahadharisha kuhusu maafa ya mienendo ya Marekani na Wakurdi wa Syria na kusisitiza ulazima wa kuzuia hatua yoyote inayotaka kuigawa ardhi ya nchi hiyo.
-
Putin: Kujiondoa Marekani katika mkataba wa makombora kumeilazimisha Moscow kuunda makombora ya hypersonic
Sep 19, 2020 22:10Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa hatua ya Marekani ya kujiondoa katika mkataba wa makombora hapo mwaka 2002 iliilazimisha Moscow kuanza mchakato wa kustawisha silaha zenye kasi kubwa kuliko sauti, (hypersonic missile).