-
Mpinzani wa Rais Kagame, Diane Rwigara afikishwa mahakamani Rwanda
Oct 06, 2017 11:35Mwanasiasa wa upinzani nchini Rwanda na mkosoaji mashuhuri wa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo Diane Rwigara, mamake na dadake leo walifikishwa mahakamani mjini Kigali kwa mara ya kwanza zikiwa zimepita wiki mbili baada ya kushikiliwa na polisi.
-
Rwanda yamshtaki mkosoaji wa Rais kwa kuchochea uasi
Oct 04, 2017 12:43Msemaji wa Mwendesha Mashtaka wa serikali ya Rwanda amesema leo kuwa, mamlaka husika za Rwanda zimemfungulia mashtaka mkosoaji wa Rais Paul Kagame kwa kosa la kuchochea uasi na kughushi baada ya kuzuiwa kuchuana na hasimu wake Kagame katika uchaguzi wa rais wa mwezi Agosti mwaka huu.
-
Jukwaa la wanasayansi wa Kiafrika laanzishwa nchini Rwanda kwa ajili ya kuinua sekta ya kilimo
Sep 07, 2017 10:03Kwa mara ya kwanza barani Afrika kumeanzishwa jukwaa la wanasayansi wanaolenga kutatua changamoto mbalimbli za maendeleo zinazolikabili bara hilo hususan katika sekta ya kilimo.
-
Polisi ya Rwanda yaanza kumchunguza mkosoaji wa Rais Paul Kagame
Aug 30, 2017 10:57Polisi ya Rwanda imesema kwamba inamchunguza Diane Shima Rwigara, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo kwa tuhuma za kukwepa kulipa ushuru na kughushi.
-
Wanyarwanda wamkabidhi tena Paul Kagame usukani wa kuongoza nchi yao
Aug 05, 2017 08:32Paul Kagame, Rais wa sasa wa Rwanda amechaguliwa tena kuiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka saba baada ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika jana kote nchini humo.
-
Rais Kagame ahifadhi kiti chake katika uchaguzi wa Rwanda
Aug 04, 2017 23:15Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Rwanda yameonyesha kuwa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo amehifadhi kiti chake baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo uliofanyika jana Ijumaa.
-
Wanyarwanda wanamchagua rais mpya leo
Aug 04, 2017 00:19Raia wa Rwanda leo wanaelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais mpya wa nchi hiyo. Watu wanaokadiriwa kuwa milioni 6.8 wanatarajiwa kushiriki katika zoezi hilo ambalo lilianza jana kwa kupiga kura wanyarwanda wanaoishi nje ya nchi.
-
SAUTI, Wageni waishio Rwanda waisifu nchi hiyo kwa kuwa na usalama wa hali ya juu licha ya nchi hiyo kuwa katika uchaguzi wa rais
Aug 03, 2017 12:06Raia wa kigeni wanaoishi nchini Rwanda wamesema kuwa hawana wasiwasi wa usalama nchini humu huku zikiwa zimesalia saa chache kabla ya kuanza shughuli ya upigaji kura wa uchaguzi wa rais.
-
SAUTI, Polisi ya Rwanda yamtia mbaroni mkuu wa wilaya kwa kuwazuia wananchi kushiriki mikutano ya wagombea wa upinzani
Jul 24, 2017 12:21Polisi nchini Rwanda inamshikilia mkuu wa wilaya moja kwa tuhuma za kuwawekea vikwazo wagombea urais katika kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea nchini humo hivi sasa.
-
SAUTI, Waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya (EAC) wamewasili Rwanda huku wakionyesha kufurahishwa na maandalizi
Jul 20, 2017 12:51Wangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, wamewasili nchini Rwanda huku kampeni za uchaguzi wa rais zikiendelea kila kona nchini humo.