Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudia, Uturuki ni waungaji mkono wakuu wa ISIS

    Saudia, Uturuki ni waungaji mkono wakuu wa ISIS

    Feb 26, 2016 23:32

    Mshauri wa Rais wa Syria amesema kuwa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh linaweza kuangamizwa haraka iwapo baadhi ya nchi za eneo hasa Uturuki na Saudi Arabia zitaacha kuliunga mkono kifedha na kisiasa kundi hilo la wakufurishaji.

  • EU yataka Saudia iwekewe vikwazo vya silaha

    EU yataka Saudia iwekewe vikwazo vya silaha

    Feb 25, 2016 11:59

    Bunge la Ulaya limepasisha azimio la kutaka Saudi Arabia iwekewe vikwazo vya silaha kutokana na vikosi vya utawala wa Aal-Saud kushadidisha hujuma zake dhidi ya taifa la Yemen.

  • Al Arabiya yamtimua aliyerusha filamu kuhusu Nasrullah

    Al Arabiya yamtimua aliyerusha filamu kuhusu Nasrullah

    Feb 23, 2016 22:16

    Mkurugenzi wa Kanali ya Televisheni ya Kiarabu ya Al Arabiya amefutwa kazi kwa kutangaza filamu ya matukio ya kweli ambayo ilionekana kumuunga mkono kiongozi wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.

  • Houthi: Saudia wanashirikiana na al-Qaeda Yemen

    Houthi: Saudia wanashirikiana na al-Qaeda Yemen

    Feb 23, 2016 04:26

    Abdul Malik al-Houthi, kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa Saudi Arabia na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda zinashirikiana katika mashambulizi yao ya kutisha nchini Yemen.

  • Mbinu mpya za Saudi Arabia za kushadidisha mgogoro wa kisiasa wa Lebanon

    Mbinu mpya za Saudi Arabia za kushadidisha mgogoro wa kisiasa wa Lebanon

    Feb 23, 2016 00:11

    Kufuatia kujiuzulu Waziri wa Sheria wa Lebanon, Ashraf Rifi siku ya Jumapili, dunia imeanza kushuhudia hila na njama mpya za Saudia Arabia zenye lengo la kupanua zaidi mgogoro wa kisiasa huko Lebanon.

  • Syria yatoa tena onyo kali kwa Saudia

    Syria yatoa tena onyo kali kwa Saudia

    Feb 21, 2016 12:31

    Spika wa Bunge la Syria ametoa onyo kali kwa ukoo wa Aal Saud unaojigamba kuwa utatuma wanajeshi wake nchini Syria.

  • Mwanaharakati: Saudia ilihusika kukandamizwa Waislamu Nigeria

    Mwanaharakati: Saudia ilihusika kukandamizwa Waislamu Nigeria

    Feb 20, 2016 12:09

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeukosoa utawala wa Aal-Saud kwa kutumia mamilioni ya dola kuishinikiza serikali ya Nigeria kuwakandamiza wafuasi wa harakati hiyo.

  • Madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia dhidi ya Iran

    Madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia dhidi ya Iran

    Feb 20, 2016 09:56

    Akizungumza kwenye mahojiano na kanali ya CNN katika kuhalalisha hatua zake za kisiasa katika eneo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameituhumu Iran kuwa inatekeleza siasa za kuibua malumbano ya kimadhehebu katika eneo.

  • Kuendelea mashambulio ya Saudia nchini Yemen

    Kuendelea mashambulio ya Saudia nchini Yemen

    Feb 20, 2016 02:29

    Ndege za kivita za jeshi la Saudi Arabia, kwa mara nyingine tena zimefanya mashambulizi ya kikatili katika mji mkuu wa Yemen San'a na kuua kwa umati raia wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Assad: Azma ya Saudia na Uturuki kuivamia Syria ilianza miaka 2 iliyopita

    Assad: Azma ya Saudia na Uturuki kuivamia Syria ilianza miaka 2 iliyopita

    Feb 16, 2016 04:18

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema mpango wa Saudi Arabia na Uturuki kutaka kuingia kijeshi nchini Syria ulianza miaka miwili iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS