Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Senegal na Saudia zaripoti kesi za kwanza za Corona, waliofariki Marekani wafika 6

    Senegal na Saudia zaripoti kesi za kwanza za Corona, waliofariki Marekani wafika 6

    Mar 03, 2020 04:00

    Saudi Arabia, Jordan na Tunisia ni nchi za hivi punde katika ulimwengu wa Kiarabu kuripoti kesi za kwanza za virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu zaidi ya elfu tatu kote duniani, hususan nchini China.

  • Kuhani mmoja Myahudi-Mzayuni akutana na mfalme wa Saudi Arabia

    Kuhani mmoja Myahudi-Mzayuni akutana na mfalme wa Saudi Arabia

    Feb 22, 2020 03:56

    Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, kuhani mmoja Mzayuni ameonana na mfalme wa Saudi Arabia mjini Riyadh.

  • Ujerumani yaitaka Saudi Arabia ichunge haki za binadamu

    Ujerumani yaitaka Saudi Arabia ichunge haki za binadamu

    Feb 22, 2020 03:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amewataka viongozi wa Saudi Arabia wafanyie marekebisho sheria zao na wachunge haki za binadamu.

  • Mousavi: Kimya cha jamii ya kimataifa kimewahamasisha watenda jinai kuuwa raia wa Yemen

    Mousavi: Kimya cha jamii ya kimataifa kimewahamasisha watenda jinai kuuwa raia wa Yemen

    Feb 16, 2020 09:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la watenda jinai wa muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia. Shambulio hilo lilifanywa juzi usiku na wanajeshi wa Saudia Arabia na washirika wake katika mji wa al Masloub mkoani al Jawf.

  • Saudia imeshindwa katika vita dhidi ya Yemen

    Saudia imeshindwa katika vita dhidi ya Yemen

    Feb 16, 2020 07:30

    Kuvunjika makubaliano ya Riyadh, kuondoka kikamilifu askari wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutoka Yemen na kutunguliwa ndege ya kivita aina ya Tornado ya muungano vamizi wa Saudia, kabla ya jambo lolote lile, ni mambo yanayoashiria kushindwa serikali ya Riyadh katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Yemen.

  • Libya: Misri, Saudia, Imarati zinavunja azimio la Baraza la Usalama

    Libya: Misri, Saudia, Imarati zinavunja azimio la Baraza la Usalama

    Dec 20, 2019 23:34

    Mwakilishi wa serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, nchi za Misri, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zinavunja azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa uungaji mkono wao kwa jenerali muasi, Khalifa Haftar.

  • Afrika Kusini yasitisha uuzaji silaha kwa Saudia, UAE

    Afrika Kusini yasitisha uuzaji silaha kwa Saudia, UAE

    Nov 23, 2019 08:27

    Afrika Kusini imetangaza kuwa inasitisha uuzaji wa silaha zake kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) baada ya kubainika kuwa tawala hizo mbili zinawakabidhi wanamgambo wa Yemen baadhi ya silaha hizo na hivyo kukiuka mapatano ambayo yanazuia silaha zilizonunuliwa kutoka Afrika Kusini kufikia pande za tatu.

  • Abdul-Malik al-Houthi: Saudia na waitifaki wake wasubiri matokeo mabaya ya uvamizi wao

    Abdul-Malik al-Houthi: Saudia na waitifaki wake wasubiri matokeo mabaya ya uvamizi wao

    Nov 10, 2019 04:22

    Kiongozi wa wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameuonya vikali muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa, wavamizi hao wataendelea kuandamwa na vipigo na wajiandae kwa matokeo mabaya ya uvamizi wao.

  • Kuwait yazifikishia Saudia na Bahrain ujumbe wa amani kutoka Iran

    Kuwait yazifikishia Saudia na Bahrain ujumbe wa amani kutoka Iran

    Nov 06, 2019 04:25

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait Khaled al-Jarallah amesema nchi yake imezifikishia Saudi Arabia na Bahrain ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kutaka amani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Shutuma na lawama za Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki kwa Saudia na Imarati

    Shutuma na lawama za Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki kwa Saudia na Imarati

    Nov 01, 2019 04:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amezikosoa na kuzilaumu Saudi Arabia na Imarati kwa sababu ya kadhia tofauti za eneo na kimataifa na akasisitiza kwamba Saudia inapasa iwajibishwe kwa kuishambulia kijeshi Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS