-
Maafisa wanne wa jeshi la Saudia waangamizwa katika mkoa wa 'Asir
Apr 19, 2018 23:43Maafisa wanne wa jeshi la Saudi Arabia wameangamizwa katika shambulio la ufyatuaji risasi lililotokea kwenye kituo kimoja cha upekuzi mkoani 'Asir kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Saudi Arabia yaendelea kuishambulia Yemen kwa mabomu yaliyopigwa marufuku
Apr 19, 2018 09:21Saudi Arabia imeendelea na hujuma zake za kijeshi huko Yemen na kuendelea kutumia mabomu yaliyopigwa marufuku kimataifa.
-
Wanawake wahajiri wa Kiafrika wanadhalilishwa kingono katika jela zinazosimamiwa na Saudia na UAE, Aden
Apr 19, 2018 03:21Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR yameripoti kuwa wanawake wahajiri wa Kiafrika wanakashifiwa na kudhalilishwa kingono katika mji wa Aden kusini mwa Yemen ambao unadhibitiwa na vikosi vya Imarati (UAE) na Saudi Arabia.
-
HRW: Mamluki wa Imarati wanawabaka wahajiri wa Kiafrika Yemen
Apr 18, 2018 03:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mamluki wanaofadhiliwa na kuungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen wanawabaka na kuwalawiti wahajiri wa kike na kiume raia wa Afrika katika nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
Jeremy Corbyn: Ishambulieni Saudia pia kwa kuwa imetumia silaha za sumu Yemen
Apr 17, 2018 23:32Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza ametaka kufanywa mashambulizi ya anga kuilenga Saudia kutokana na nchi hiyo ya Kiarabu kutumia mabomu yaliyopigwa marufuku na Umoja wa Mataifa dhidi ya raia wasio na hatia nchini Yemen.
-
Saudia na Imarati zawafanya mamluki maelfu ya vijana wa Afrika
Apr 17, 2018 09:33Gazeti la al-Quds al-Arabi limeripoti kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zinataka kuwasajili maelfu ya vijana wa Kiafrika zitakaowatumia katika operesheni zao za nje ya nchi vikiwemo vita dhidi ya Yemen.
-
Morocco yaondoa ndege zake za kivita katika muungano wa Saudia dhidi ya Yemen
Apr 15, 2018 23:41Morocco inapanga kuondoa ndege zake za kivita zilizoko katika muungano wa Saudi Arabia ambao umekuwa ukiihujumu Yemen kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.
-
Kikao cha utangulizi cha wakuu wa nchi za Kiarabu, uchochezi dhidi ya Iran
Apr 13, 2018 21:53Huku akikanusha tuhuma zilizotolewa hivi karibuni dhidi ya Iran kupitia taarifa ya kikao cha nane cha kamati ya pande nne ya Kiarabu huko Saudia, Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa tuhuma hizo hazina msingi na kwamba ni za dharau.
-
Nchi zinazoizingira Qatar zakariri madai yao kwa Doha kama sharti la kufungua upya mahusiano
Apr 13, 2018 02:53Kwa mara nyingine nchi nne za Kiarabu zainazoizingira Qatar ambazo ni Saudi Arabia, Bahrain, Imarati na Misri, zimekariri masharti yao 13 kwa serikali ya Doha kama njia ya kufungua upya uhusiano wao na nchi hiyo.
-
Qassemi: Wasaudia sawa na Wazayuni wamekuwa nembo za wavamizi na watenda jinai Mashariki ya Kati
Apr 11, 2018 22:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, watawala wa hivi sasa wa Saudi Arabia wamekuwa ni nembo ya uvamizi na kutenda jinai Mashariki ya Kati sawa kabisa na utawala wa Kizayuni wa Israel.