-
Abdul-Malik al-Houthi: Fikra za Uwahabi za Saudia ndizo zinazoeneza ugaidi duniani
Jun 01, 2017 02:58Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amekosoa vikali misimamo ya Saudi Arabia na mkatakati wake wa kueneza fikra za Uwahabi na kubainisha kwamba, matukio ya kigaidi yanayoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali duniani chimbuko lake ni fikra za Kiuwahabi za Saudia.
-
Mamluki 46 wa Saudia wauawa na kujeruhiwa Yemen
May 31, 2017 10:06Duru za kuaminika za Yemen zimetangaza habari ya kuuawa na kujeruhiwa karibu mamluki 46 wa Saudi Arabia katika mapigano na jeshi la Yemen.
-
Israel yafaidika na mkataba wa silaha wa Saudia, Marekani
May 29, 2017 03:16Gazeti moja la Kizayuni, limefichua kuwa, katika mkataba wa mabilioni ya dola wa ununuzi silaha baina ya Marekani na Saudia, mashirika ya Israel yatapata faida kubwa sana.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu utatuzi wa matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu
May 29, 2017 01:33Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika mahafali yaliyojaa nuru ya kuwa na mapenzi makubwa na Quráni Tukufu yaliyofanyika jioni ya siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani katika Husainia ya Imam Khomeini hapa mjini Tehran, kwamba, sababu kuu ya upotofu uliomkuba mwanadamu leo hii ni kushindwa kuyapa majibu sahihi masuala yake.
-
Wataalamu wa UN walaani Saudia kubomoa turathi za kiutamaduni za mji wa Kishia
May 28, 2017 23:59Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameulaani utawala wa Saudi Arabia kwa kubomoa turathi za mji wa kale wa Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wanajeshi wa Yemen walipiza kisasi kwa kuua askari 13 wa Saudia
May 28, 2017 09:32Wanajeshi wa Yemen wametekeleza oparesheni kubwa ya kulipiza kisasi na kuuawa wanajeshi 13 Wasaudi katika maeneo kadhaa ya kusini magharibi mwa Saudi Arabia.
-
Trump achochea kuzidi kukandamizwa wapinzani nchini Saudi Arabia
May 28, 2017 02:24Habari kutoka nchini Saudi Arabia zinasema kuwa, ukoo wa Aal Saud unaotawala nchini humo una nia ya kutekeleza adhabu ya kifo dhidi ya mlemavu mmoja kwa tuhuma za kushiriki katika maandamano ya kuupinga utawala wa ukoo huo.
-
Dakta Zarif: Iran kinyume na Saudia, inafuatilia kutatuliwa kisiasa mgogoro wa Syria
May 26, 2017 22:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran kinyume na Saudi Arabia, inafuatilia kuhakikisha kwamba, mgogoro wa Syria unapatiwa ufumbuzi kupitia njia za kisiasa.
-
Wanaharakati 14 wahukumiwa kifo kwa kuandamana Saudia
May 26, 2017 09:43Mahakama moja nchini Saudi Arabia imewahukumu adhabu ya kifo wanaharakati 14 kwa kushiriki maandamano katika eneo la Qatif.
-
Wabunge Marekani wapanga kumzuia Trump kuiuzia Saudia silaha
May 26, 2017 03:04Wabunge kadhaa nchini Marekani wanapanga kuanzisha sheria ya kumzuia Rais Donald Trump kuiuzia Saudia baadhi ya silaha.