-
Mamilioni waandamana Iran kulaani jinai za Aal Saud na Aal Khalifa
Sep 09, 2016 22:55Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameandamana kote nchini kulaani jinai za tawala za kikoo za Aal Saud huko Saudi Arabia na Aal Khalifa huko Bahrain kwa jinai zao dhidi ya watu wa eneo.
-
Kiongozi Muadhamu: Saudia ikubali uchunguzi kuhusu maafa ya Mina
Sep 07, 2016 08:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: "Iwapo utawala wa Saudia haupaswi kulaumiwa kuhusu maafa ya Mina, basi ukubali jopo la Kiislamu-Kimataifa lichunguze kwa karibu maafa hayo na kuweka kila kitu wazi."
-
Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia katika mahojiano na CNN
Sep 08, 2016 23:15Adel al-Jubeir, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ambaye ameelekea mjini London, Uingereza kushiriki kikao cha 'marafiki' wa Syria amefanyiwa mahojiano na Christiane Amanpour, ripota wa kanali ya televisheni ya CNN kuhusiana na mgogoro wa Syria ambapo katika maelezo yake kunashuhudiwa mchanganyiko wa madai, kutojielewa na uingiliaji wa wazi wa masuala ya nchi nyingine.
-
Marekani yapendekeza kuiuzia Saudia silaha zenye thamani ya dola bilioni 115
Sep 08, 2016 03:30Ripoti za siri zilizofichuliwa zinaeleza kuwa serikali ya Marekani imependekeza kuiuzia Saudi Arabia silaha zenye thamani ya dola bilioni 115.
-
Rais Rouhani:Nchi za Waislamu ziungane kukabiliana na jinai za Saudi Arabia
Sep 07, 2016 08:54Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa wito kwa nchi za Waislamu dunaini kuungana na kuuwajibisha utawala wa Saudia kutokana na jinai zake katika nchi za Waislamu eneo la Mashariki ya Kati.
-
Hizbullah: Njama za Saudia dhidi ya Uislamu ni mbaya zaidi kuliko hata za Marekani
Sep 07, 2016 03:10Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa njama za utawala wa Saudia ni mbaya zaidi kulikoza Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Ayatullah Shirazi: Uwahabi ni tishio kubwa zaidi kwa Uislamu na Ubinadamu
Sep 05, 2016 03:04Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Iran amesema hii leo Uwahabi una wafuasi wanaotenda jinai na wasio na huruma hata kidogo na hivyo ni hatari kubwa zaidi kwa Uislamu na ubinadamu.
-
Ndege za kivita za Saudia zashambulia Yemen mara 80 kwa siku moja
Sep 04, 2016 09:26Raia kadhaa wa Yemen, wakiwemo watoto, wameuawa baada ya ndege za kivita za Saudi Arabia kutekeleza mashambulizi zaidi ya 80 kote Yemen katika muda wa siku moja.
-
Marekani inaunga mkono hujuma za Saudia dhidi ya Wayemen
Sep 02, 2016 22:50Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amelaani vikali Marekani kwa kutoa misaada ya kijeshi na kisiasa kwa Saudi Arabia katika mashambulizi yake ya kudondosha mabomu dhidi ya watu wa Yemen.
-
Wanazuoni wawili wa Kishia wa Saudia watiwa mbaroni Makka
Aug 31, 2016 23:24Askari usalama wa Saudi Arabia wamewatia mbaroni wanazuoni wawili wa Kishia wa nchini humo.