-
Raia saba Yemen wauawa katika hujuma za Saudia
Sep 25, 2016 04:48Raia saba wameuawa katika hujuma ya hivi karibuni ya ndege za kivita za Saudia nchini Yemen.
-
Mashindano ya Paralimpiki ya Rio De Janeiro Brazil yamalizika
Sep 19, 2016 03:51Mashindano ya Olimpiki kwa walemavu yaliyokuwa yakifanyika mjini Rio De Janeiro, nchini Brazil yalimalizika rasmi usiku wa kuamkia leo kwa shamrashamra na nderemo mbalimbali.
-
Nafasi ya undumakuwili ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai za Saudia na Marekani
Sep 18, 2016 23:40Saudia imeinyima ruhusa ya kurejea nyumbani timu ya wawakilishi wa mazungumzo ya amani ya Yemen iliyokuwa imefanya safari nchini humo.
-
Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33
Sep 18, 2016 05:49Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.
-
Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33
Sep 18, 2016 02:38Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.
-
Ayatullah Khatami: Saudia ni chimbuko la magaidi wa Daesh (ISIS)
Sep 16, 2016 10:26Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema jinai za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh au ISIS zinatokana na fikra za kuwakufurisha Waislamu ambazo zinatawala Saudi Arabia.
-
Mwanaharakati wa kisiasa Bahrain: Saudia ndio inatoa hukumu ya kamatakamata Bahrain
Sep 16, 2016 03:31Mwanaharakati wa kisiasa nchini Bahrain amesema kuwa, idara ya ujasusi ya Saudia ndio inayotoa hukumu ya nani akamatwe huko nchini Bahrain.
-
Saudi Arabia yashadidisha mashambulio dhidi ya shule na makazi ya raia Yemen
Sep 15, 2016 03:08Ndege za kivita za Saudi Arabia Jumatano asubuhi ziliendelea kudondosha mabomu katika maeneo ya raia nchini Yemen kwa kushambulia eneo la Aal Aqab katika mji wa Sahar katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Magaidi wanaopata msaada wa Saudia wauawa nchini Iran
Sep 12, 2016 03:31Askari wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) wamesambaratisha mtandao wa magaidi wanaopata himaya ya Saudi Arabia na Marekani katika mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa nchi.
-
Maafa ya Mina ni thibitisho watawala wa Aal Saud hawastahiki kusimamia Haram Mbili Takatifu
Sep 12, 2016 03:28Khatibu wa Sala ya Idul Adhaa mjini Tehran amesema maafa ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana ni thibitisho kuwa utawala wa ukoo wa Aal Saud haustahiki kusimamia Maeneo Mawili Matakatifu ya Waislamu.