-
EU yakema vikali mashambulizi ya Saudia dhidi ya hospitali Yemen
Aug 17, 2016 09:32Msemaji wa Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amekemea vikali mashambulizi yaliyofanywa na Saudi Arabia dhidi ya hospitali nchini Yemen na kutoa wito wa kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia za kisiasa.
-
Saudia yashambulia hospitali Yemen; yaua raia 25 na kujeruhi 20
Aug 15, 2016 23:17Raia wasiopungua 25 wameuawa na wengine 20 wamejeruhiwa katika shambulio la anga la ndege za utawala vamizi wa Saudi Arabia dhidi ya hospitali moja kaskazini mwa Yemen.
-
Mfamle wa Saudia awapa 'bonasi' askari wanaoua raia Yemen
Aug 15, 2016 03:30Mfalme wa Saudi Arabia ametangaza kuwapa marupurupu askari vamizi wanaotekeleza mauaji na jinai za kutisha dhidi ya raia wa kawaida nchini Yemen.
-
Raia 33 wa Yemen wauawa katika hujuma ya anga ya Saudia
Aug 09, 2016 08:45Kwa mara nyingine tena ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeshambulia maeneo ya makazi ya watu na kuua makumi ya raia wasio na hatia katika mikoa kadhaa ya Yemen hii leo.
-
Jeshi la Yemen laangamiza mamluki 52 wa Saudia
Aug 07, 2016 09:16Jeshi la Yemen limefanikiwa kuangamiza makumi ya mamluki wa Saudi Arabia mashariki mwa mji mkuu Sanaa.
-
Mufti Mkuu wa Saudia ataka watu wafadhili mauaji Yemen
Aug 04, 2016 23:55Mufti Mkuu wa Saudi Arabia amewataka waumini na wafanyabiashara wa Kiislamu nchini humo kutoa mchango wa fedha kwa ajili ya kufadhili mashambulizi ya anga ya utawala wa Riyadh nchini Yemen.
-
Wanafunzi Waislamu Ulaya walaani mauaji ya watoto Yemen
Aug 03, 2016 02:55Muungano wa vyama vya wanafunzi wa Kiislamu barani Ulaya umemuandikia barua Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ukitaka hatua za makusudi zichukuliwe kukomesha mauaji ya raia wasio na hatia na hususan watoto wadogo nchini Yemen.
-
Saudia yafanya njama ya kuwakwamisha Wayemen wasiende Hija tena kwa mwaka wa pili
Aug 02, 2016 11:24Wizara ya Waqfu ya Yemen imetangaza kuwa Saudi Arabia inafanya njama za kuwakwamisha kwa mwaka wa pili mfululizo mahujaji kutoka Yemen wasiende nchini humo kutekeleza ibada ya Hija.
-
Ndege za Saudia zaendelea kuua watoto Yemen
Aug 02, 2016 02:52Watoto watatu wa familia moja wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia katika maeneo ya raia kusini mwa Yemen.
-
Saudia yadai haijaiwekea mzingiro Yemen
Jul 31, 2016 00:01Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia ambao unaendeleza mzingiro wa ardhini, baharini na angani dhidi ya Yemen umedai kuwa haujaizingira nchi hiyo ya Kiarabu.