-
Ndege za kivita za Saudia zashambulia Yemen mara 80 kwa siku moja
Sep 04, 2016 09:26Raia kadhaa wa Yemen, wakiwemo watoto, wameuawa baada ya ndege za kivita za Saudi Arabia kutekeleza mashambulizi zaidi ya 80 kote Yemen katika muda wa siku moja.
-
Marekani inaunga mkono hujuma za Saudia dhidi ya Wayemen
Sep 02, 2016 22:50Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amelaani vikali Marekani kwa kutoa misaada ya kijeshi na kisiasa kwa Saudi Arabia katika mashambulizi yake ya kudondosha mabomu dhidi ya watu wa Yemen.
-
Wanazuoni wawili wa Kishia wa Saudia watiwa mbaroni Makka
Aug 31, 2016 23:24Askari usalama wa Saudi Arabia wamewatia mbaroni wanazuoni wawili wa Kishia wa nchini humo.
-
Gordon Duff: Ofisi za udiplomasia za Saudia duniani zinatumika kwa ujasusi
Aug 29, 2016 23:31Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchini Marekani Gordon Duff, amesema kuwa ofisi za udiplomasia za Saudia kote duniani zinatumika kwa ajili ya shughuli za ujasusi.
-
Mashambulio mapya ya Saudia yaua raia 12 nchini Yemen
Aug 28, 2016 03:06Watu wasiopungua 10 wameuawa katika mashambulio ya karibuni yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudia katika eneo la Shar'ab mkoani Taiz nchini Yemen.
-
Jarida la Jane's Defence: Bajeti ya kijeshi ya Saudia kufikia dola bilioni 52
Aug 25, 2016 03:30Jarida la masuala ya kijeshi la Jane's Defence limeripoti kuwa bajeti ya kijeshi ya baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati itaongezeka katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
-
Askari kadhaa wa Saudia wauawa katika matukio tofauti
Aug 17, 2016 23:20Duru za habari nchini Saudia zimeripoti kuuawa kwa kupigwa risasi afisa mmoja wa polisi, mashariki mwa nchi hiyo.
-
EU yakema vikali mashambulizi ya Saudia dhidi ya hospitali Yemen
Aug 17, 2016 09:32Msemaji wa Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amekemea vikali mashambulizi yaliyofanywa na Saudi Arabia dhidi ya hospitali nchini Yemen na kutoa wito wa kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia za kisiasa.
-
Saudia yashambulia hospitali Yemen; yaua raia 25 na kujeruhi 20
Aug 15, 2016 23:17Raia wasiopungua 25 wameuawa na wengine 20 wamejeruhiwa katika shambulio la anga la ndege za utawala vamizi wa Saudi Arabia dhidi ya hospitali moja kaskazini mwa Yemen.
-
Mfamle wa Saudia awapa 'bonasi' askari wanaoua raia Yemen
Aug 15, 2016 03:30Mfalme wa Saudi Arabia ametangaza kuwapa marupurupu askari vamizi wanaotekeleza mauaji na jinai za kutisha dhidi ya raia wa kawaida nchini Yemen.