-
Raia 33 wa Yemen wauawa katika hujuma ya anga ya Saudia
Aug 09, 2016 08:45Kwa mara nyingine tena ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeshambulia maeneo ya makazi ya watu na kuua makumi ya raia wasio na hatia katika mikoa kadhaa ya Yemen hii leo.
-
Jeshi la Yemen laangamiza mamluki 52 wa Saudia
Aug 07, 2016 09:16Jeshi la Yemen limefanikiwa kuangamiza makumi ya mamluki wa Saudi Arabia mashariki mwa mji mkuu Sanaa.
-
Mufti Mkuu wa Saudia ataka watu wafadhili mauaji Yemen
Aug 04, 2016 23:55Mufti Mkuu wa Saudi Arabia amewataka waumini na wafanyabiashara wa Kiislamu nchini humo kutoa mchango wa fedha kwa ajili ya kufadhili mashambulizi ya anga ya utawala wa Riyadh nchini Yemen.
-
Wanafunzi Waislamu Ulaya walaani mauaji ya watoto Yemen
Aug 03, 2016 02:55Muungano wa vyama vya wanafunzi wa Kiislamu barani Ulaya umemuandikia barua Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ukitaka hatua za makusudi zichukuliwe kukomesha mauaji ya raia wasio na hatia na hususan watoto wadogo nchini Yemen.
-
Saudia yafanya njama ya kuwakwamisha Wayemen wasiende Hija tena kwa mwaka wa pili
Aug 02, 2016 11:24Wizara ya Waqfu ya Yemen imetangaza kuwa Saudi Arabia inafanya njama za kuwakwamisha kwa mwaka wa pili mfululizo mahujaji kutoka Yemen wasiende nchini humo kutekeleza ibada ya Hija.
-
Ndege za Saudia zaendelea kuua watoto Yemen
Aug 02, 2016 02:52Watoto watatu wa familia moja wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia katika maeneo ya raia kusini mwa Yemen.
-
Saudia yadai haijaiwekea mzingiro Yemen
Jul 31, 2016 00:01Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia ambao unaendeleza mzingiro wa ardhini, baharini na angani dhidi ya Yemen umedai kuwa haujaizingira nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hizbullah: Saudia inarejesha uhusiano na Israel bila gharama
Jul 30, 2016 01:38Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali safari ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Saudi Arabia katika utawala wa Kizayuni wa Israel wiki jana na kusisitiza kuwa Riyadh inahuisha uhusiano wake na Tel Aviv pasina na kuzingatia maslahi ya Wapalestina.
-
Rezaei: Saudia inaendelea kutuma magaidi nchini Iran
Jul 24, 2016 03:27Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameikosoa vikali Saudi Arabia kwa kuendelea kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kuyatuma hapa nchini kutekeleza mashambulizi.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa na Saudia huko Yemen
Jul 23, 2016 02:55Makumi ya raia wa Yemen wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia katika maeneo mbalimbali ya Yemen.