• Uganda yataka ushirikiano wa kiulinzi majini Afrika Mashariki + Sauti

    Uganda yataka ushirikiano wa kiulinzi majini Afrika Mashariki + Sauti

    Nov 26, 2018 14:37

    Umetolewa wito wa kuwepo ushirikiano baina walinzi wa majini katika nchi za Afrika Mashariki katika masuala ya ulinzi na usalama kufuatia ajali ya boti iliyotokea katika Ziwa Victoria siku ya Jumamosi iliyopita. Mwandishi wetu wa mjini Kampala Kigozi Ismail, ametuandalia ripoti ifuatayo.

  • Burundi yazindua kampeni maalumu ya kupiga vita mihadarati na pombe za kienyeji + Sauti

    Burundi yazindua kampeni maalumu ya kupiga vita mihadarati na pombe za kienyeji + Sauti

    Nov 22, 2018 14:22

    Serikali ya Burundi imezindua kampeni ya kupiga vita utengenezaji na utumiaji wa pombe za kienyeji na mihadarati katika jiji la Bujumbura. Wakati kampeni hiyo itakayodumu kwa muda wa siku 60 ikianzishwa, mkuu wa kata ya Kavumu amefutwa kazi hadharani akituhumiwa kushirikiana na wagemaji na wauzaji wa pombe hizo. Mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa ana maelezo zaidi.........

  • Hali si shwari, Uganda yamimina wanajeshi wake katika mpaka na DRC + Sauti

    Hali si shwari, Uganda yamimina wanajeshi wake katika mpaka na DRC + Sauti

    Nov 20, 2018 03:18

    Kufuatia kuzuka mgogoro wa mpakani mwa Uganda na Jamhuri ya Kidemoksaria ya Kongo, serikali ya Uganda imetuma wanajeshi wake wa wengi wa UPDF katika mpaka wa nchi hizo mbili. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.

  • Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti

    Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti

    Nov 16, 2018 03:20

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Ali Bagheri amesema kuwa, maadhimisho ya Maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad SAW kunaleta mapenzi kwa Waislamu wote, hivyo waitumie fursa hiyo kuimarisha udugu wao. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam

  • Waislamu Kenya walalamikia kutengwa na Idara ya Uhamiaji + Sauti

    Waislamu Kenya walalamikia kutengwa na Idara ya Uhamiaji + Sauti

    Nov 16, 2018 02:57

    Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wameilalamikia Idara ya Uhamiaji ya nchi hiyo kuwa ingali inafanya ubaguzi katika utoaji huduma. Seifullah Murtadha na maelezo kamili...

  • Halmashauri ya Viwango Zanzibar yahimiza kuboreshwa bidhaa + Sauti

    Halmashauri ya Viwango Zanzibar yahimiza kuboreshwa bidhaa + Sauti

    Nov 16, 2018 02:51

    Taasisi ya Viwango Zanzibar imesisitizia udharura wa kuboreshwa bidhaa zinazozalishwa na zinazoingia visiwani humo ili kuwaepusha Wazanzibari na taathira mbaya za bidhaa zisizotimiza viwango. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.

  • Bunge la Burundi laitisha kikao cha dharura kutathmini sheria + Sauti

    Bunge la Burundi laitisha kikao cha dharura kutathmini sheria + Sauti

    Nov 16, 2018 02:39

    Bunge la Burundi lilikutana jana Alkhamisi, Novemba 15, 2018 katika kikao cha dharura cha kutathmini sheria ya kuimarisha ushirikiano wa kiusalama katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.

  • Ripoti: Maelfu ya wasichana wa Burundi wapotezwa Saudi Arabia + Sauti

    Ripoti: Maelfu ya wasichana wa Burundi wapotezwa Saudi Arabia + Sauti

    Nov 13, 2018 05:53

    Kuna ripoti zinazosema kuwa wanawake na wasichana 4,500 raia wa Burundi wamepelekwa Saudi Arabia na Oman tangu mwaka 2015 katika kile kinachodaiwa na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni biashara ya binadamu. Serikali ya Burundi imeitisha mkutano maalumu kujadili suala hilo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...

  • Mufti wa Tanzania awahimiza Waislamu kujifunza sayansi + Sauti

    Mufti wa Tanzania awahimiza Waislamu kujifunza sayansi + Sauti

    Nov 11, 2018 14:03

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi bin Ali amewataka Waislamu wa Tanzania kujiendeleza na kujitanua katika nyanja mbalimbali za kielimu hasa katika sekta ya sayansi na teknologia ili kuiendeleza dini ya Kiislamu kwa njia bora zaidi. Ammari Dachi na taarifa zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Serikali ya Tanzania yaahidi kutafuta soko la uhakika la korosho + Sauti

    Serikali ya Tanzania yaahidi kutafuta soko la uhakika la korosho + Sauti

    Nov 08, 2018 13:10

    Serikali ya Tanzania imewataka wananchi hususan wakulima wa korosho nchini humo kuendelea kuwa watulivu wakati ikiendelea kuongea na wanunuzi wakubwa wa korosho kutoka maeneo mbalimbali duniani ili kupata masoko ya uhakika wa zao hilo. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...