Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

sauti

  • UNESCO yasikitishwa na uchache wa urithi wa kihistoria barani Afrika ulioorodheshwa kwa shirika hilo + Sauti

    UNESCO yasikitishwa na uchache wa urithi wa kihistoria barani Afrika ulioorodheshwa kwa shirika hilo + Sauti

    Oct 02, 2018 06:58

    Wanahistoria na wasajili wa mambo ya kale wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamadunia (UNESCO) wamesikitishwa na uchache wa alama za kihistoria barani Afrika uliopo kwenye shirika hilo. Wataalamu hao ambao wametembelea Kigali nchini Rwanda wamesema kuwa asilimia 85 ya alama za kihistoria katika shirika hilo si za Afrika. Silvanus Karemera na ripoti kamili kutoka Kigali...

  • Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania: Watanzania wanaoishi mpakani wasisumbuliwe na vyombo vya usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania: Watanzania wanaoishi mpakani wasisumbuliwe na vyombo vya usalama

    Oct 01, 2018 01:37

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, Alphaxard Kangi Ndege Lugola amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi hiyo kutowasumbua Watanzania wanaoishi mipakani lakini wakati huo huo wawatie mbaroni raia wa kigeni walioingia nchini humo kinyume cha sheria. Ammar Dachi ametuyarishia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...

  • Burundi yashauriwa kujitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la UN + Sauti

    Burundi yashauriwa kujitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la UN + Sauti

    Sep 28, 2018 02:56

    Baada ya serikali ya Burundi kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, mashirika yasiyo ya kiserikali nchini humo yameitaka serikali ya Bujumbura kujiondoa pia kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.

  • Wanafunzi wenye ulemavu walalamikia changamoto zinazowakumba Zanzibar + Sauti

    Wanafunzi wenye ulemavu walalamikia changamoto zinazowakumba Zanzibar + Sauti

    Sep 23, 2018 13:43

    Wanafunzi wenye ulemavu visiwani Zanzibar wamelalamikia changamoto wanazozipata wakati wanapokwenda mashuleni kutokana na kukosekana miundimbinu iliyo rafiki kwao. Mwandishi wetu Harith Subeit na ripoti kamili

  • Waziri Mkuu wa Tanzania aongoza maziko ya wahanga wa ajali ya MV Nyerere + Sauti

    Waziri Mkuu wa Tanzania aongoza maziko ya wahanga wa ajali ya MV Nyerere + Sauti

    Sep 23, 2018 13:22

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa ameongoza mazishi ya kitaifa ya watu tisa kati ya 224 waliofariki kwenye ajali ya Kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria Septemba 20, 2018 ambao wamezikwa katika viwanja vya shule ya Sekondari Bwisya katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza. Kati ya watu hao tisa, miili ya watu wanne ni ile ambayo haikutambuliwa.   Mwandishi wetu wa Dar es Salaam Ammar Dachi anatutaarifu zaidi.

  • Mbatia: Ajali ya kuzama MV Nyerere nchini Tanzania ingeliweza kuepukwa + Sauti

    Mbatia: Ajali ya kuzama MV Nyerere nchini Tanzania ingeliweza kuepukwa + Sauti

    Sep 22, 2018 03:05

    Mwenyekiti wa NCCR mageuzi nchini Tanzania, James Mbatia amesema kuwa, kuzama kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria ni ajali ya kujitakia.

  • Kagame akasirishwa na wanaosema amewaachilia huru wafungwa kwa mashinikizo

    Kagame akasirishwa na wanaosema amewaachilia huru wafungwa kwa mashinikizo

    Sep 20, 2018 01:33

    Rais Paul Kagame wa Rwanda ameoneshwa kukasirishwa sana na wale wanaosema kuwa amewaachilia huru wafungwa kutokana na mashinikizo.

  • Serikali ya Uganda yautaka Umoja wa Ulaya usiingilie mambo yake ya ndani

    Serikali ya Uganda yautaka Umoja wa Ulaya usiingilie mambo yake ya ndani

    Sep 17, 2018 12:45

    Serikali ya Uganda imeulalamikia vikali Umoja wa Ulaya na kuutaka uache tabia yake ya kuingia mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Taarifa ya serikali ya Uganda imeeleza kuwa, umoja huo unapaswa kutambua kwamba, Uganda ni nchi huru na yenye kujiamulia mambo yake. Kwa taarifa zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail….

  • Barabara ya juu ya Tazara jijini Dar es Salaam Tanzania kufunguliwa mwezi Oktoba 2018 + Sauti

    Barabara ya juu ya Tazara jijini Dar es Salaam Tanzania kufunguliwa mwezi Oktoba 2018 + Sauti

    Sep 16, 2018 13:27

    Ujenzi wa barabara ya juu katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam Tanzania umekamilika kwa asilimia 98 na unatarajiwa kufunguliwa mwezi Oktoba mwaka huu na Rais John Pombe Magufuli. Amari Dachi na maelezo zaidi...

  • Baraza la Seneti la Burundi kuchunga mashirika ya kigeni + Sauti

    Baraza la Seneti la Burundi kuchunga mashirika ya kigeni + Sauti

    Sep 14, 2018 01:57

    Baraza la Seneti la Burundi lina mpango wa kuyachunguza mashrika ya kimataifa yanayotoa huduma nchini humo kubaini iwapo yanasajili wafanyakazi wake kwa kuzingatia usawa wa kikabila na kijinsia kama inavyoagiza sheria ya nchi hiyo au la. Mwandishi wetu Hamida Issa na ripoti kamili...

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS