Mbatia: Ajali ya kuzama MV Nyerere nchini Tanzania ingeliweza kuepukwa + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i48304-mbatia_ajali_ya_kuzama_mv_nyerere_nchini_tanzania_ingeliweza_kuepukwa_sauti
Mwenyekiti wa NCCR mageuzi nchini Tanzania, James Mbatia amesema kuwa, kuzama kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria ni ajali ya kujitakia.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Sep 22, 2018 03:05 UTC

Mwenyekiti wa NCCR mageuzi nchini Tanzania, James Mbatia amesema kuwa, kuzama kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria ni ajali ya kujitakia.

Vile vile amesema, majanga yanayotokea kwa asilimia 96 ni ya kusababishwa na binadamu, na asilimia 4 pekee ndiyo majanga ya asili.

Amari Dachi ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo.