Burundi yashauriwa kujitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la UN + Sauti
Sep 28, 2018 02:56 UTC
Baada ya serikali ya Burundi kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, mashirika yasiyo ya kiserikali nchini humo yameitaka serikali ya Bujumbura kujiondoa pia kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.
Ombi hilo limeungwa mkono na mpatanishi wa kitaifa nchini humo ambaye amesisitiza kuwa, haoni umuhimu kwa Burundi kuendelea kuwa mwanachama wa baraza hilo.
Mwandishi wetu wa Bujumbura Hamida Issa ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo
Tags