-
Saudia ilishambulia kwa makusudi kikao cha maombolezo mjini Sanaa
Oct 12, 2016 00:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Saudi Arabia ilishambulia kwa makusudi kikao cha khitma na maombolezo mjini Sanaa ambapo mamia ya watu waliuawa na kujeruhiwa siku ya Jumamosi.
-
Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni
Sep 27, 2016 10:38Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah itaishinda Israel katika vita vyovyote vipya
Aug 20, 2016 03:33Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: endapo vitaanzishwa vita vyovyote vipya dhidi ya Lebanon, Hizbullah itaibuka mshindi katika medani hiyo.
-
Sayyid Nasrullah: Siku ya Quds ni siku ya kuangamizwa Israel
Jul 02, 2016 03:32Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa lengo la kutangazwa Siku ya Kimataifa ya Quds ni kubakisha hai kumbukumbu ya Quds tukufu na kuwafanya Waislamu wasisahau eneo na msikiti huo mtakatifu.
-
Hizbullah: Magaidi wanaoungwa mkono na Saudia na US, hatari M/Kati
Jun 24, 2016 22:41Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono kwa hali na mali na Saudia na Marekani yanatishia usalama wa eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Vita Syria si vya Shia na Suni, Saudi Arabia inazuia ukombozi wa Palestina
Jun 14, 2016 09:49Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema Saudi Arabia sasa imekuwa kizingiti kikubwa katika ukombozi wa Palestina.
-
Sayyid Nasrullah: Israel ingali tishio kuu kwa eneo la M/Kati
May 25, 2016 11:58Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio tishio kuu kwa usalama na amani ya eneo hili.
-
Nasrallah ampongeza kamanda wa Hizbullah aliyeuawa Syria
May 20, 2016 23:25Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah Sayyed Hassan Nasrallah amempongeza kamanda mwandamizi wa harakati hiyo ya muqawama, Shahidi Mustafa Badreddine aliyeuawa Syria wiki jana na kusema alikuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya Israel.
-
Hizbullah yapongeza juhudi za Iran za kusuluhisha matatizo ya eneo
May 16, 2016 02:19Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na ugaidi sambamba na jitada zake za kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazolikabili eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Hizbullah itaendelea kuunga mkono taifa la Palestina katika mapambano dhidi ya Israel
May 15, 2016 09:43Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuhusu kuendelea kuunga mkono mapambano ya taifa linalodhulumiwa la Palestina katika makabiliano yake na utawala ghasibu wa Israel unaokalia Quds Tukufu kwa mabavu.