-
Mgogoro wa Gambia waingia awamu mpya, Nigeria yatuma majeshi kukabiliana na Jammeh
Jan 19, 2017 01:51Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limetuma askari 200 na ndege kadhaa za kivita katika nchi jirani na Gambia ya Senegal kwa ajili ya kutatua mgogorowa uongozi uliosababishwa na uchaguzi wa rais nchini Gambia.
-
Mtoto wa Rais mteule wa Gambia afariki kwa kushambuliwa na mbwa
Jan 17, 2017 03:57Mtoto wa kiume wa Rais-mteule wa Gambia mwenye umri wa miaka minane amefariki dunia kwa kushambuliwa na mbwa katika mazingira ya kutatanisha, wakati huu ambapo baba yake yuko nchini Senegal.
-
Jamii ya kimataifa yapongeza msimamo wa Senegal dhidi ya Israel
Jan 03, 2017 10:16Jamii ya kimataifa imeipongeza Senegal kwa kuunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Uwezekano wa Jammeh kuondolewa kwenye kiti cha urais kwa nguvu za kijeshi
Dec 17, 2016 03:47Rais wa Senegal amesema kuna uwezekano rais wa Gambia kuondolewa kwa nguvu za jeshi katika kiti cha urais baada ya kukataa kukubali kushindwa katika uchaguzi.
-
Ndege ya Rais wa Liberia yazuiwa kutua Gambia, Yahya Jammeh apinga matokeo
Dec 10, 2016 11:58Mamlaka za Gambia zimetangaza kuizuia kutua nchini humo ndege ya Rais Ellen Sirleaf Johnson ambaye pia ni Mwenyekiti wa hivi sasa wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS.
-
Rais wa Senegal asisitiza kutokomezwa ugaidi barani Afrika
Dec 07, 2016 00:27Rais Macky Sall wa Senegal amesisitizia ulazima wa kung'olewa na kutokomezwa mizizi ya ugaidi katika nchi zote za Afrika.
-
Kongamano la Kimataifa la Amani na Usalama Afrika laanza Dakar
Dec 05, 2016 11:59Kongamano la Tatu la Kimataifa Kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika limenza leo mjini Dakar huko Senegal.
-
Senegal yautaka Umoja wa Mataifa kulisaidia jeshi la kulinda amani la AU
Nov 20, 2016 00:35Serikali ya Senegal imeutaka Umoja wa Mataifa kuusaidia kifedha Umoja wa Afrika katika kutekeleza majukumu na operesheni zake za kulinda amani.
-
Mbio za kumrithi Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU zashika kasi
Oct 15, 2016 04:52Kinyang'anyiro cha kuwania uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika kimeendelea kupamba moto huku Chad ikimteua Moussa Faki Mahamat, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuwania nafasi hiyo.
-
Rais wa Senegal awaachilia huru mamia ya wafungwa kwa mnasaba wa Idi
Sep 12, 2016 11:20Duru za habari nchini Senegal zimeripotia kuachiliwa huru mamia ya wafungwa kwa mnasaba wa sherehe za Idul-Adh'ha.