-
Kiongozi Muadhamu: Marekani imekosea katika kuamiliana na Iran na pia inafanya makosa katika eneo
Mar 21, 2021 16:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kutoaminika Marekani katika masuala mbali mbali likiwemo suala la mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kuongeza kuwa, Wamarekani wamekosea katika mauamala wao na Iran na pia wanakosea kwa ujumla katika masuala ya eneo la Asia Magharibi.
-
Wanadiplomasia Tehran washiriki katika sherehe za mwaka mpya wa Kiirani, Nowruz
Mar 16, 2021 08:04Mabalozi na wawakilishi wa zaidi ya nchi 80 na pia wawakilishi wa taasisi za kimataifia nchini Iran wameshiriki katika maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiirani Nowruz ambao unatazamiwa kuanza Machi 21.
-
Kiongozi Muadhamu: Katika kadhia ya JCPOA, Wazungu wametupiga jambia kwa nyuma
Mar 22, 2019 16:58Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia, jana Alkhamisi jioni alitoa hotuba muhimu sana iliyozingatia masuala mbalimbali Ukiwemo msimamo wa Wamagharibi kuhusu Iran mbele ya mjumuiko mkubwa na uliojaa hamasa wa wafanyaziara na majiran wa Haram ya Imam Ridha AS mjini Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
-
Mwaka mpya katika matazamio ya ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi
Mar 21, 2019 12:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1398 Hijria Shamsia, na kuupa mwaka huo mpya jina la mwaka wa "Kustawi Uzalishaji."
-
Kiongozi Muadhamu autangaza Mwaka 1398 Shamsiya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji"
Mar 21, 2019 03:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe kwa munasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1398 Hijiria Shamsia, ametuma salamu za pongezi za Nowuruz (Nairuzi) na pia salamu kwa munasaba wa Wilada ya Imam Ali AS kwa wananchi wa Iran na hasa familia za mashahidi na majeruhi wa vita na amelitakia taifa la Iran mwaka wenye furaha, saada, afya ya kimwili na mafanikio ya kimaada na kimaanawi na ameutaja mwaka mpya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji".
-
Nairuzi katika picha
Mar 31, 2018 14:40Nairuzi ni sherehe za kale na za muda mrefu ambazo matawi yake yameenea katika kona mbalimbali za dunia hadi Afrika Mashariki.
-
Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewashangaza maadui
Mar 21, 2018 04:33Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe wa mwaka mpya wa 1397 Hijria Shamsia akisema kuwa, mwaka uliomalizika wa 1396 ulikuwa mwaka wa mafanikio na ushindi wa taifa kubwa la Iran katika nyanja mbalimbali licha ya njama zote za wanaoitakia mabaya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Mwaka 1397 hijria shamsia, mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran"
Mar 20, 2018 17:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, ameutangaza mwaka mpya wa 1397 hijria shamsia kuwa mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran".
-
Sherehe ya Nowruz yafanyika katika Umoja wa Mataifa
Mar 22, 2017 07:52Sherehe ya kuadhimisha sikukuu ya Nowruz imefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa umoja huo.
-
Ujumbe wa Nairuzi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi; sisitizo juu ya utambulisho na izza ya taifa la Iran
Mar 21, 2017 02:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1396 hijria shamsia.