-
Ujerumani yaacha kuiuzia silaha Saudia na wavamizi wa Yemen
Jan 21, 2018 03:09Serikali ya Ujerumani imesitisha kuiuzia silaha Saudia na karibu waitifaki wenzake wote wanaoshiriki katika jinai dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Yemen.
-
Ripoti: Marekani na Saudi Arabia zimewapa magaidi wa ISIS silaha
Dec 15, 2017 06:42Shirika moja la kimataifa limezilaumu tawala za Marekani na Saudi Arabia kuwa zimekuwa zikiwafikishia magaidi wa ISIS silaha kwa siri kupitia makundi ya wapinzania nchini Syria.
-
Russia yaomba kibali cha UN ili kutuma silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati
Dec 13, 2017 08:05Russia imeripotiwa kuomba kibali kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuiruhusu kusafirisha silaha nyepesi na zana za kijeshi kwa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Silaha za Marekani na Israel zapatikana katika ngome za ISIS, Syria
Dec 10, 2017 07:18Siku chache baada ya Mkuu wa Jeshi la Russia kutangaza kuwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) limeangamizwa kikamilifu nchini Syria, shehena ya silaha zilizotengenezewa Marekani na Israel imepatikana na wanajeshi wa Syria katika mji wa Dayr al-Zawr, iliyokuwa ngome ya mwisho ya magaidi hao.
-
Bunge la EU lataka Saudia iwekewe vikwazo vya silaha
Dec 01, 2017 07:51Wabunge wa Umoja wa Ulaya wamepiga kura kwa kishindo kuunga mkono azimio linalotaka EU iiwekee vikwazo vya silaha Saudi Arabia, inayoongoza katika mauaji na hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen.
-
Hamas: Silaha zetu ni mstari mwekundu, hazina mjadala
Nov 28, 2017 07:37Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imepinga mwito wa kuitaka iweke chini silaha kama sehemu ya maridhiano ya kitaifa kati yake na harakati ya Fat'h.
-
Serikali ya Uingereza yaanzisha jitihada za kupambana na ongezeko la uhalifu wa silaha
Nov 28, 2017 02:41Serikali ya Uingereza imeanzisha mkakati mpya wa kukusanya silaha na kukabiliana na ongezeko kubwa la vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha nchini humo.
-
Gazeti la Kizayuni: Silaha za Israel inazouziwa Myanmar ndizo zinatumika kuwaua Waislamu
Oct 23, 2017 14:08Gazeti la utawala wa Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa silaha za kisasa za Israel zinazouzwa kwa serikali ya Myanmar, ndizo zinatumika kuwaua Waislamu wa nchi hiyo.
-
Serikali ya Sudan yafunga mipaka kwa ajili ya kukusanya silaha
Oct 06, 2017 02:52Serikali ya Sudan imefunga mipaka ya nchi hiyo katika utekelezaji wa mpango wa kukusanya silaha na imewataka raia wa nchi hiyo kuisaidia katika mchakato huo.
-
Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Uingereza wazidi kulalamikiwa kimataifa
Jul 12, 2017 07:32Taasisi za kutetea haki za binadamu nchini Uingereza zimekosoa kuendelea mchakato wa kuiuzia silaha Saudi Arabia ili izitumie katika mashambulizi yake dhidi ya raia wa Yemen wasio na hatia.