-
Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Uingereza wazidi kulalamikiwa kimataifa
Jul 12, 2017 03:02Taasisi za kutetea haki za binadamu nchini Uingereza zimekosoa kuendelea mchakato wa kuiuzia silaha Saudi Arabia ili izitumie katika mashambulizi yake dhidi ya raia wa Yemen wasio na hatia.
-
Syria yagundua ghala kubwa la silaha za Israel katika maficho ya magaidi mkoani Homs
Jun 29, 2017 10:51Jeshi la Syria limegundua ghala kubwa la silaha za kila namna za utawala wa Kizayuni wa Israel katika maficho ya magaidi kwenye wilaya ya al Wa'er mkoani Homs.
-
Kuongeza mashambulizi ya silaha Marekani, watu 71 waliuawa Jumanne pekee
May 31, 2017 23:46Katika matukio 82 ya mashambulizi ya silaha za moto nchini Marekani yaliyojiri siku ya Jumanne pekee katika majimbo tofauti nchini humo kwa akali watu 71 wameuawa na wengine 53 kujeruhiwa.
-
Saudia mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha za Marekani, Israel mpokezi mkubwa zaidi wa misaada ya kijeshi ya Marekani
May 23, 2017 02:33Utawala wa Kizayuni wa Israel umebainisha wasiwasi wake kuhusu Marekani kuiuzia Saudi Arabia silaha zenye kugharimu mabilioni ya dola katika hali ambayo Israel yenyewe inapokea misaada ya silaha za kisasa zaidi kutoka Marekani.
-
Seneta wa US akosoa mauzo ya silaha kwa Saudia kwa dola bilioni 110
May 21, 2017 23:32Seneta mmoja wa chama cha Democratic nchini Marekani amekosoa vikali hatua ya Washington kusaini makubaliano ya mauzo ya silaha yenye thamani ya dola bilioni 110 za Marekani kwa Saudi Arabia, licha ya kufahamu fika kuwa silaha hizo zinatumiwa na watawala Riyadh kuwaua raia wa Yemen.
-
UN yaituhumu Ukraine kuwa inatuma silaha Sudan Kusini
May 15, 2017 03:02Umoja wa Mataifa umeituhumu Ukraine kuwa imekiuka vikwazo vya kimataifa dhidi ya Sudan Kusini kwa kuiuzia nchi hiyo ya Afrika silaha.
-
Ufilipino yaitaka Marekani iache kuingiza silaha zake nchini humo
Jan 30, 2017 04:22Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema Marekani inahatarisha usalama wa eneo kwa kuendelea kurundika silaha zake katika nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa wakataa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini
Dec 23, 2016 23:39Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepinga wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini, ambayo inashuhudia mapigano kwa mwaka wa nne sasa.
-
Saudia: Marekani haijapunguza mauzo ya silaha zake kwetu
Dec 19, 2016 04:04Adel al-Jubeir, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amekanusha madai kuwa Marekani imepunguza kiwango cha uuzaji silaha kwa serikali ya Riyadh kutokana na hujuma za utawala huo wa kifalme nchini Yemen.
-
Amnesty yaitaka Uhispania iache kuiuzia Saudia meli za kivita
Nov 12, 2016 04:19Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Uhispania iache kuiuzia Saudi Arabia manowari za kijeshi na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kusitisha mauzo hayo kwa kuwa yumkini meli hizo za kivita zikatumika dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.