-
Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33
Sep 18, 2016 10:19Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.
-
Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33
Sep 18, 2016 07:08Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.
-
Nchi zilizosaini mkataba wa kuuza silaha zimetakiwa kuacha kuiuzia silaha Saudia
Aug 22, 2016 15:07Shirika kubwa la uuzaji silaha limezishambulia kwa maneno nchi na pande zilizosaini Mkataba wa Uuzaji Silaha (ATT), ikiwemo Marekani kwa kuendelea kuiuzia Saudi Arabia silaha, likisema kuwa nchi hizo zinapaswa ziache kufanya hivyo kwa kuwa silaha hizo zinatumika dhidi ya raia nchini Yemen.
-
"Madai kuwa Iran imeipa Daesh silaha ni kichekesho"
Aug 11, 2016 14:31Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha madai ya kipropaganda yanayoenezwa na vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa Tehran imelipa silaha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Ripoti: Uganda yaongoza kwa visa vya uhalifu Afrika Mashariki
Jul 26, 2016 16:55Utafiti mpya umefichua kuwa, Uganda ndiyo inayoongoza kwa visa vya uhalifu wa kutumia silaha za moto katika kanda ya Afrika Mashariki.
-
Kuanza utekelezaji wa mpango wa kuwapokonya silaha waasi DRC
Jul 18, 2016 08:10Mpango wa kuwapokonya silaha waasi walioko katika mkoa wa Ituri huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeanza kutekelezwa.
-
Wanaharakati: Marekani haina nia ya kubadilisha sheria ya kumiliki silaha
Jun 15, 2016 07:27Wasomi, wadadisi wa mambo na watetezi wa haki za binadamu nchini Marekani wamesema serikali ya Washington haina azma ya kuangalia upya sheria ya kumiliki silaha licha ya mauaji ya kutisha ya hivi karibuni ya Orlando.
-
DRC: Madai kuwa tumepokea silaha kutoka Korea Kaskazini ni kichekesho
May 16, 2016 07:50Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepuuzilia mbali ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa iliyodai kuwa nchi hiyo imekuwa ikipokea silaha kutoka Korea Kaskazini.
-
S/Kusini: Tumemzuia Riek Machar kwa kuwa anataka kuingiza silaha nchini
Apr 20, 2016 07:37Serikali ya Sudan Kusini imesema imelazimika kuzuia ndege ya Riek Machar, kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo kutua katika uwanja wa ndege wa Juba kutokana na madai kuwa alitaka kungiza silaha nchini humo.
-
Silaha gani ni ya hatari zaidi inayotumiwa na MOSSAD kwa ajili ya kuilinda Israel?
Mar 27, 2016 04:05Mtandao wa Intaneti wa "Sauti ya Israel" umefichua kuwa, silaha ya hatari zaidi inayotumiwa na shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni MOSSAD ni mwili wa mwanamke wa Kiyahudi.