-
Magaidi wa al Shabab wajeruhi watu saba kusini mwa Somalia
Jun 10, 2018 03:25Afisa mmoja wa jeshi la Somalia ametangaza habari ya kujeruhiwa watu saba katika shambulio la kujiripua kwa mabomu lililofanywa na gaidi mmoja wa al Shabab katika kambi moja ya kijeshi iliyoko kusini mwa nchi hiyo, usiku wa kuamkia leo.
-
Askari 5 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia
Jun 09, 2018 03:35Askari mmoja wa Marekani ameuawa huku wengine wanne wakijeruhiwa katika operesheni ya pamoja ya vikosi vya US na askari wa Umoja wa Afrika dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.
-
Al-Shabaab yateka mji wa kistratajia Somalia na kufunga viwanja 30 vya michezo
Jun 08, 2018 03:28Kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab limeteka mji moja wa kiistratajia karibu na eneo la Baidoa sambamba na kufunga viwanja zadi ya 30 vya michezo katika mji kuu Mogadishu.
-
UN yaunga mkono juhudi za kuleta utulivu Somalia
Jun 08, 2018 00:05Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake kutokana na kuongezeka ukosefu wa usalama na hali mbaya ya kibinadamu nchini Somalia na kusisitiza kuwa inaunga mkono juhudi za kuleta utulivu katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika iliyoharibiwa vibaya na vita vya ndani.
-
Wabunge wawili wauawa Somalia katika shambulizi la al-Shabaab
Jun 05, 2018 22:24Wabunge wawili wa eneo lenye mamlaka ya ndani la Hirshabelle nchini Somalia wameripotiwa kuuawa katika shambulizi la kuvizia la kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab, karibu na mji mkuu Mogadishu.
-
Kundi la kigaidi la al-Shabaab lateka mji wa Moqokori, ladai kuua askari 47 wa Somalia
Jun 02, 2018 23:08Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeuteka mji mmoja ulioko katikati mwa Somalia, mwezi mmoja baada ya vikosi vya usalama kuondoka mjini hapo.
-
Wasiwasi wa AU kuhusu madola yasiyo ya Afrika kuingilia mambo ya Somalia
May 28, 2018 03:22Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Faki Mahamat ameeleza wasiwasi kuhusu ongezeko la uingiliaji wa nje unaofanywa na madola yasiyo ya Afrika katika mambo ya ndani ya Somalia.
-
AU, UN na IGAD zataka kusitishwa mapigano kati ya Puntland na Somaliland
May 25, 2018 03:02Jamii ya kimataifa imeeleza juu ya wasi wasi mkubwa ilionao kutokana na kushtadi mapigano kati ya vikosi vya maeneo yenye mamlaka ya ndani ya Somaliland na Puntland nchini Somalia.
-
Msafara wa magari ya jeshi washambuliwa Somalia, 12 waripotiwa kuuawa
May 22, 2018 09:15Kwa akali askari 12 wa Jeshi la Somalia wameripotiwa kuuawa katika shambulio la bomu lililolenga msafara wa magari ya jeshi hilo katika wilaya ya Wanaweyn, yapata kilomita 30 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu.
-
Somalia yakadhibisha madai ya Kenya ya kuwa tayari kufanya mazungumzo kuhusu mzozo wa mipaka
May 22, 2018 04:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia imekanusha madai yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya kuwa iko tayari kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na nchi hiyo kuhusiana na mgogoro wa mipaka yao ya pamoja ya baharini.