-
UN yaiondoea vikwazo vya silaha Somalia, yahitimisha shughuli zake za kisiasa nchini Sudan
Dec 02, 2023 02:29Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio la kuondoa vikwazo vya mwisho vya silaha dhidi ya serikali ya Somalia na vikosi vyake vya usalama, huku likihitimisha pia shughuli za ujumbe wake wa kisiasa katika nchi ya Sudan iliyokumbwa na vita.
-
Ukame kulazimisha watu milioni 216 duniani kuyahama makazi yao
Nov 30, 2023 00:19Inakadiriwa kuwa, watu milioni 216 watalazimika kuyahama makazi yao kufikia mwaka 2050 kutoka na athari za ukame.
-
Watu 14 waaga dunia kutokana na mafuriko Somalia
Nov 05, 2023 11:04Kwa akali watu 14 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Somalia.
-
Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wauawa nchini Somalia
Oct 07, 2023 04:41Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameuawa katika operesheni za jeshi la Somalia.
-
Somalia: Tumeua wanachama 1,650 wa al-Shabaab ndani ya miezi 2
Oct 05, 2023 10:31Serikali ya Somalia imesema imefanikiwa kuangamiza wanachama 1,650 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab katika operesheni za vikosi vya jeshi la nchi hiyo katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 27 wa al-Shabaab Galmudug
Sep 23, 2023 04:12Jeshi la Somalia limetangaza habari ya kuangamiza makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab katika jimbo la Galmudug, katikati mwa nchi.
-
Jeshi la Ethiopia lasema limeua magaidi 462 wa al-Shabaab Somalia
Sep 21, 2023 23:11Kwa akali wanachama 462 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waliuawa mwisho mwa wiki nchini Somalia, Jeshi la Ulinzi la Taifa la Ethiopia (ENDF) limethibisha hayo na kueleza kuwa, magaidi hao waliuawa katika shambulizi lililotibuliwa katika kambi ya askari wa Ethiopia wanaohudumu chini ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS).
-
Makumi ya wanajeshi wa Ethiopia wauawa katika hujuma ya kigaidi
Sep 18, 2023 04:14Makumi ya askari wa jeshi la Ethiopia wameuliwa katika shambulio la wanamgambo wa kundi la Shabab magharibi mwa Somalia.
-
Mamilioni wahama makazi yao Somalia kutokana na ukame, migogoro
Aug 31, 2023 23:35Robo ya wananchi wote wa Somalia wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na ukame na migogoro.
-
AU kundoa askari wengine 3,000 kutoka Somalia
Aug 30, 2023 04:35Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimesema kitawaondoa wanajeshi wengine 3,000 katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.