-
Iran: Kurutubisha urani kwa 60% ni jibu kwa njama za maadui
Apr 19, 2021 02:54Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema urutubishaji wa madini ya urani kwa kiwango cha asilimia 60 hapa nchini ni jibu kwa njama na chokochoko za maadui wa taifa hili.
-
Spika: Nchi za Kiislamu zisifuate nyayo za Marekani za kuiwekea vikwazo Iran
Oct 20, 2020 07:40Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka serikali za nchi za Kiislamu zisikubali kufuata nyayo za Marekani za kuiwekea vikwazo Iran katika kipindi hiki cha janga la corona.
-
Mkuu wa Baraza Kuu la Mashia Lebanon: Israel inachezea moto
Aug 25, 2019 12:31Mkuu wa Baraza Kuu la Mashia nchini Lebanon amesema, kuendeleza utawala wa Kizayuni wa Israel uchokozi dhidi ya Lebanon na Syria ni kuchezea moto, ambao utapelekea kuteketezwa utawala huo.
-
Spika wa Bunge la Lebanon: Eneo lote la Quds ni mji mkuu wa Palestina
Mar 12, 2019 02:54Spika wa Bunge la Lebanon kwa mara nyingine tena amesisitiza msimamo wa nchi yake kuhusiana na kuiunga mkono Baytul -Muqaddas na Palestina na kusema kuwa, eneo lote la Quds Tukufu ni mji mkuu wa nchi ya Palestina.
-
Ahmad Bahar: Quds ni mji mkuu wa milele wa Palestina
Oct 06, 2018 15:26Naibu Spika wa Bunge la Palestina amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel haiwezi kubadilisha ukweli wa mambo kwani Quds utaendelea kubakia kuwa mji mkuu wa daima wa Palestina.
-
Spika wa Bunge la Syria: Iran itakuwa pamoja na Syria katika kuikarabati nchi hiyo
Aug 28, 2018 03:32Spika wa Bunge la Syria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama ambavyo tangu mwanzoni mwa mgogoro wa nchi hiyo ilikuwa pamoja na wananchi na serikali ya Damascus, itashiriki pia katika ukarabati wa taifa hilo.
-
Larijani: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa US yanaonesha hana ukomavu wa kisiasa
May 25, 2018 07:04Spika wa Majilisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hayana mantiki na yanaonesha kuwa waziri huyo hana ukomavu wa kisiasa.
-
Waziri wa zamani wa ulinzi wa Somalia achaguliwa kuwa Spika wa Bunge
May 01, 2018 04:15Wabunge wa Somalia jana walimchagua Mohamed Mursal Abdirahman, waziri wa zamani wa ulinzi wa nchi hiyo kuwa Spika mpya wa Bunge.
-
Larijani: Ni jukumu la nchi za Kiislamu kufanya juhudi za kupunguza hitilafu
Jan 15, 2018 14:26Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria njama za maadui waliokula kiapo dhidi ya Uislamu kwa ajili ya kupenya na kuzusha hitilafu miongoni mwa Waislamu na kusisitiza kwamba, ni jukumu la nchi za Kiislamu kuzuia kuenea hitilafu na mizozo katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Spika wa Bunge la Afrika Kusini awasili Iran
Sep 01, 2017 15:17Spika wa Bunge la Afrika Kusini amewasili Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.