Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Sudan yamwita balozi wa EU kulalamikia matamshi ya kutiwa mbaroni al Bashir

    Sudan yamwita balozi wa EU kulalamikia matamshi ya kutiwa mbaroni al Bashir

    Jul 12, 2018 10:30

    Kufuatia taarifa iliyotolewa na Umoja wa Ulaya juu ya udharura wa kutiwa mbaroni Rais Omar Hassan Ahmad al-Bashir wa Sudan, Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo imemwita balozi wa umoja huo mjini Khartoum na kumfikishia malalamiko yake.

  • Sudan yalalamikia ripoti ya mahakama ya ICC dhidi ya nchi hiyo

    Sudan yalalamikia ripoti ya mahakama ya ICC dhidi ya nchi hiyo

    Jun 24, 2018 10:45

    Wizara ya Mambo ya Nje wa Sudan imeituhumu Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuwa inafanya ubaguzi dhidi ya Khartoum.

  • Umoja wa Mataifa walalamikia utendaji mbaya wa serikali ya Sudan katika jimbo la Darfur

    Umoja wa Mataifa walalamikia utendaji mbaya wa serikali ya Sudan katika jimbo la Darfur

    Jun 22, 2018 09:30

    Umoja wa Mataifa umelalamikia utendaji mbaya wa serikali ya Sudan katika jimbo la Darfur na kueleza kwamba, Khartoum imekuwa ikikwamisha mambo.

  • Tahadhari kuhusu harakati za Israel huko Darfur

    Tahadhari kuhusu harakati za Israel huko Darfur

    Jun 16, 2018 21:03

    Harakati ya Kongresi ya Taifa Ya Sudan imetahadharidha kuhusu uingiliaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuzusha machafuko na ghasia kwenye eneo la Darfur.

  • Riek Machar akubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini

    Riek Machar akubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini

    Jun 14, 2018 03:31

    Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amekubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika, wiki ijayo nchini Ethiopia.

  • Serikali ya Sudan yatakiwa kuondoa wanajeshi wake nchini Yemen

    Serikali ya Sudan yatakiwa kuondoa wanajeshi wake nchini Yemen

    Jun 11, 2018 09:37

    Katibu Mkuu wa chama cha Kongresi ya Wananchi cha Sudan ameitaka serikali ya nchi hiyo kuwarejesha nyumbani wanajeshi wa Sudan wanaoshiriki katika mashambulizi ya kivamizi nchini Yemen.

  • Sudan yatetea na kuhalalisha kushiriki kwake katika mauaji ya wananchi wa Yemen + Picha

    Sudan yatetea na kuhalalisha kushiriki kwake katika mauaji ya wananchi wa Yemen + Picha

    May 28, 2018 22:48

    Waziri wa Ulinzi wa Sudan Luteni Jenerali Awad Mohamed Ahmed Ibn Auf amesema, kwa mtazamo wa kimaadili ni wajibu kwa nchi hiyo kutuma wanajeshi wake Yemen ili kuusaidia utawala wa Aal Saud katika vita dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.

  • Umoja wa Afrika waitisha mkutano kujadili mgogoro wa mpakani wa Sudan na Sudan Kusini

    Umoja wa Afrika waitisha mkutano kujadili mgogoro wa mpakani wa Sudan na Sudan Kusini

    May 23, 2018 23:39

    Umoja wa Afrika utafanya mkutano kati ya Sudan na Sudan Kusini kwa lengo la kutatua mgogoro kuhusu eneo la mpakani la Abyei.

  • Sudan yalalamikia udhalilishaji wa Misri

    Sudan yalalamikia udhalilishaji wa Misri

    May 20, 2018 22:04

    Uhusiano baina ya Misri na Sudan umezidi kuharibika baada ya Khartoum kuilalamikia Cairo kuwa inafanya udhalilishaji dhidi yaWamisri waishio nchini Sudan.

  • Serikali ya Sudan yaendela kushinikizwa kuwarejesha nyumbani wanajeshi wake wanaouawa Yemen

    Serikali ya Sudan yaendela kushinikizwa kuwarejesha nyumbani wanajeshi wake wanaouawa Yemen

    May 16, 2018 23:55

    Muungano mpya nchini Sudan unaojulikana kwa jina la "Harakati ya Umoja wa Kitaifa" umeitaka serikali ya nchi hiyo iwarejeshe nyumbani wanajeshi iliowatuma nchini Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS