-
Hitilafu kati ya Misri na Sudan zapamba moto zaidi
Apr 21, 2017 11:26Sudan imewasilisha malalamiko yake dhidi ya Misri katika Umoja wa Mataifa kuhusu umiliki wa maeneo ya Hala'ib na Shalatiin.
-
Marekani yalegeza misimamo yake kwa Sudan
Apr 19, 2017 21:57Tangu baada ya Rais Omar al Bashir wa Sudan kujiunga na Saudi Arabia katika mashambulizi dhidi ya raia wasio na ulinzi wa Yemen, nchi za Magharibi zimeonekana kulegeza misimamo yao kuhusu serikali ya Khartoum. Kwa mara ya kwanza Sudan imeruhusiwa kushiriki katika kikao cha wakuu wa kikosi cha pamoja cha kundi la nchi za Marekani, Ulaya na Afrika, maarufu kwa jina la Africom.
-
Wafanya magendo ya binadamu watiwa mbaroni Sudan
Apr 12, 2017 09:26Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Sudan ametangaza habari ya kutiwa nguvuni watu watano wanaojihusisha na magendo ya binadamu karibu na mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Wasi wasi wa Sudan kuhusu kuongezeka wimbi la wakimbizi wa Sudan Kusini
Apr 07, 2017 23:44Serikali ya Sudan imeonyesha wasi wasi wake mkubwa juu ya mgogoro unaotokana na ongezeko la wakimbizi wa Sudan Kusini wanaoingia nchi hiyo.
-
Afrika Kusini kizimbani ICC leo kwa kutomkamata Rais wa Sudan
Apr 07, 2017 02:27Afrika Kusini hii leo inatazamiwa kupanda kizimbani katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutoa sababu za kutomkamata Rais Omar al-Bashir wa Sudan alipoitembelea nchi hiyo miaka miwili iliyopita.
-
Maafisa usalama wa Afrika watahadharisha kuhusu hatari ya makundi ya kigaidi
Apr 06, 2017 10:04Maafisa wa upelelezi na vyombo vya usalama wa nchi 30 za Afrika walioshiriki katika mkutano wa amani nchini Sudan wametahadharisha kuhusu vitisho vya makundi ya kigaidi barani humo.
-
Watu wenye silaha wawafyatulia risasi raia wakiwa sokoni nchini Sudan, saba wauawa
Apr 03, 2017 00:12Watu wenye silaha wasiojulikana wametekeleza shambulizi katika soko nchini Sudan na kuua watu saba na wengine kadhaa kujeruhiwa.
-
Kamisheni ya Haki za Binadamu yaikosoa Jordan kwa kumkaribisha al Bashir
Mar 31, 2017 23:17Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeikemea serikali ya Jordan kwa kumkaribisha nchini humo Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan anayesakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Uhusiano wa Saudia na Sudan, hakika au maslahi ya muda?
Mar 31, 2017 22:02Saudi Arabia inafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Sudan yajulikanayo kama 'Ngao ya Samawati -1' huku nchi hizo mbili zikijaribu kuimarisha uhusiano wao kutokana na vizingiti vya ndani ya nchi na kieneo.
-
Sudan yaafiki kuanzishwa njia ya amani kwa ajili ya misaada ya kibinadamu Sudan Kusini
Mar 27, 2017 00:09Serikali ya Sudan imeafiki suala la kuanzishwa njia ya amani kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu kwa watu walioathiriwa na ukame na njaa katika nchi jirani ya Sudan Kusini.