-
HRW yataka Rais wa Sudan azuiwe kuingia Jordan au akamatwe
Mar 26, 2017 22:13Shirika la kimataifa la Haki za Binadamu HRW limetaka Rais Omar al Bashir wa Sudan azuiwe kuingia nchini Jordan.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan yaakhirishwa
Mar 15, 2017 13:00Ziara ya Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya nchini Sudan imeakhirishwa kutokana na matukio ya kiusalama nchini humo.
-
Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wakimbilia Sudan
Mar 13, 2017 03:28Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wamekimbilia Sudan kutokana na matatizo mengi yanayoikabili nchi yao ukiwemo ukame.
-
Afrika Kusini yatakiwa ifike ICC kujieleza kwa kutomkamata rais Bashir wa Sudan
Mar 08, 2017 12:24Afrika Kusini imetakiwa kufika katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC mwezi Aprili kujieleza baada ya kukataa kumkamata Rais Omar al Bashir wa Sudan alipotembelea nchi hiyo miaka miwili iliyopita.
-
AI: Kufanyike uchunguzi wa mashambulizi ya silaha za kemikali Darfur
Mar 07, 2017 12:11Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali yaliyofanywa na serikali ya Sudan dhidi ya raia katika eneo la Darful lililoko magharibi mwa nchi hiyo.
-
Sudan yawahukumu jela wanaharakati watatu wa haki za binadamu
Mar 06, 2017 04:00Mahakama moja nchini Sudan imewahukumu wanaharakati watatu wa haki za binadamu kifungo cha mwaka mmoja jela kila mmoja baada ya kuwapata na hatia katika kesi iliyohusiana na ripoti za uwongo.
-
Waasi Sudan wawaachia huru wafungwa 127
Mar 06, 2017 00:30Waasi wanaopigana dhidi ya serikali katika maeneo ya kusini mwa Sudan wamewaachia huru mateka 127 huku jeshi la nchi hiyo likikaribisha hatua hiyo.
-
Wanajeshi wa Sudan waachiliwa huru kwa upatanishi wa Rais Museveni
Mar 05, 2017 04:09Waasi wa Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Sudan wamewaachilia huru wanajeshi kadhaa wa nchi hiyo waliokuwa wanawashikilia mateka.
-
UNICEF: Watoto milioni 2 wa Sudan wanakabiliwa na utapiamlo
Feb 16, 2017 04:20Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umesema unahitaji dola milioni 110 za Marekani ili kuwanusuru mamia ya maelfu ya watoto ambao wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na utapiamlo nchini Sudan.
-
Sudan yakosoa sheria ya kibaguzi ya Trump dhidi ya Waislamu
Jan 31, 2017 10:15Msuguano wa kidiplomasia kati ya Washington na Khartoum umeibuka tena baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kupasisha sheria ya kuzuia raia wa Sudan na nchi nyingine 6 za Kiislamu kuingia nchini Marekani.