-
Mkuu wa chama cha upinzani Sudan asema yuko tayari kwa ajili ya amani
Jan 26, 2017 23:41Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Sudan amesema yuko tayari kujiunga na mchakato wa kurejesha amani na demokrasia nchini humo.
-
Indonesia: Tumeshangazwa na jeshi la Sudan kuwatia mbaroni askari wetu
Jan 24, 2017 23:31Serikali ya Indonesia imetangaza kuwa, imeshangazwa na hatua ya jeshi la Sudan kuwatia mbaroni askari wa nchi hiyo na kwamba, kitendo hicho ni kinyume na sheria.
-
Serikali ya Sudan yafikia makubaliano ya amani na waasi
Jan 23, 2017 11:37Serikali ya Sudan imefikia makubaliano na kundi moja la waasi wa Darfur linalojiita Jeshi la Ukombozi wa Sudan ikiwa ni katika kalibu ya mwafaka wa amani ya Darfur uliotiwa saini mjini Doha Qatar.
-
Amnesty yaitaka Sudan iache kukiuka haki za wanafunzi wa Vyuo Vikuu
Jan 18, 2017 23:27Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeitaka serikali ya Sudan ikomeshe dhulma na ukandamizaji dhidi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini humo na hususan katika jimbo la Darfur.
-
Sudan na Sudan Kusini zaafikiana kuhusu kusafirisha msaada wa kibinadamu
Jan 06, 2017 04:33Serikali za Sudan na Sudan Kusini zimerefusha muda wa makubaliano ya pamoja kuhusu Sudan Kusini kupokea misaada ya kibinadamu kupitia ardhi ya Sudan kwa miezi sita zaidi.
-
Sudan yaongeza muda wa usitishaji vita katika maeneo yenye mzozo
Jan 01, 2017 13:05Rais wa Sudan ametangaza kuongeza muda wa usitishaji vita kwa mwezi mmoja mwingine katika maeneo yanayozozaniwa nchini humo.
-
Wabunge Sudan warejesha nafasi ya waziri mkuu
Dec 29, 2016 03:49Wabunge nchini Sudan wamepiga kura ya kubadilisha katiba ili nafasi ya waziri mkuu irejeshwa tena nchini humo baada ya miongo miwili.
-
Serikali ya Sudan yawaachilia huru wapinzani kadhaa wa kisiasa
Dec 27, 2016 01:12Wapinzani kadhaa wa kisiasa nchini Sudan wameachiliwa huru baada ya kushikiliwa na vyombo vya usalama kwa karibu miezi miwili kufuatia kile kilichoelezwa kuwa nia yao ya kutaka kufanya maandamano dhidi ya serikali.
-
Maandamano dhidi ya serikali ya Sudan yaongezeka
Dec 19, 2016 11:20Maandamano dhidi ya serikali ya Sudan yameshadidi sambamba na mgomo wa nchi nzima.
-
Msaidizi wa Rais wa Sudan: Nchi inakabiliwa na matatizo mengi ya ndani na nje
Dec 11, 2016 23:10Msaidizi wa ngazi ya juu wa Rais wa Sudan amekiri kuwa nchi hiyo inakabiliwa na matatizo ya ndani na nje.