Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Umoja wa Mataifa watiwa wasiwasi na ongezeko la njaa nchini Sudan

    Umoja wa Mataifa watiwa wasiwasi na ongezeko la njaa nchini Sudan

    Feb 28, 2023 06:42

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko la njaa na idadi ya wakimbizi nchini Sudan mwaka huu wa 2023.

  • Wanachuo wa Sudan wapinga uhusiano wa kawaida na Israel

    Wanachuo wa Sudan wapinga uhusiano wa kawaida na Israel

    Feb 14, 2023 04:32

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini Sudan wamefanya maandamano katika mji mkuu Khartoum kupinga hatua ya utawala wa kijeshi wa nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Lavrov aunga mkono takwa la Sudan la kuondolewa vikwazo vya UN

    Lavrov aunga mkono takwa la Sudan la kuondolewa vikwazo vya UN

    Feb 10, 2023 03:26

    Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekutana na kufanya mazungumzo huko Khartoum mji mkuu wa Sudan na viongozi wa nchi hiyo na kuahidi kuunga mkono takwa lao la kuondolewa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi hiyo.

  • Maandamano ya Wasudan ya kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

    Maandamano ya Wasudan ya kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

    Feb 07, 2023 07:43

    Jumapili ya juzi tarehe 5 Februari wananchi wa Sudan waliandamana katika mji mkuu Khartoum kwa shabaha ya kupinga hatua ya utawala wa kijeshi nchini humo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Sudan yautaka Umoja wa Mataifa uiondolee haraka vikwazo vya silaha

    Sudan yautaka Umoja wa Mataifa uiondolee haraka vikwazo vya silaha

    Feb 04, 2023 03:40

    Sudan inalitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liifutie nchi hiyo vikwazo vya silaha haraka iwezekanavyo, vilivyowekwa mwaka 2005 kutokana na vita katika eneo la Darfur, magharibi mwa nchi.

  • Mamilioni ya wananchi wa Sudan waandamana dhidi ya serikali ya kijeshi

    Mamilioni ya wananchi wa Sudan waandamana dhidi ya serikali ya kijeshi

    Jan 18, 2023 05:06

    Mamilioni ya wananchi wa Sudan wameandamana Khartoum mji mkuu wa Sudan kwa mwaliko wa kamati ya uratibu wa mapambano katika maandamano yaliyopewa jina la "Tumechoka".

  • Al Burhan asisitiza vikosi vya ulinzi kujitoa katika shughuli za kisiasa

    Al Burhan asisitiza vikosi vya ulinzi kujitoa katika shughuli za kisiasa

    Jan 09, 2023 08:11

    Mkuu wa Baraza la Uongozi la Sudan amesisitiza kuhusu vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kuachana na shughuli za kisiasa.

  • Watu wasiopungua 16 wamepoteza maisha katika ajali ya basi huko Omdurman, Sudan

    Watu wasiopungua 16 wamepoteza maisha katika ajali ya basi huko Omdurman, Sudan

    Dec 27, 2022 11:22

    Basi ya abiria mapema leo liligonga lori lililokuwa limeegeshwa katika barabara kuu kwenye mji wa Omdurman huko Sudan na kuuwa watu wasiopungua 16.

  • Mapigano ya kikabila yaua watu wengine 7 Darfur, Sudan

    Mapigano ya kikabila yaua watu wengine 7 Darfur, Sudan

    Dec 25, 2022 04:09

    Mapigano ya kikabila yaliyozuka katika eneo la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya saba, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa.

  • Matukio ya Sudan na onyo la Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo

    Matukio ya Sudan na onyo la Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo

    Dec 09, 2022 22:45

    Makubaliano ya kusuluhisha mgogoro wa kisiasa wa Sudan yametiwa saini na vyama vya kisiasa vya nchi hiyo katika hali ambayo wengi wana wasiwasi kuhusu mustakabali wa nchi hiyo na uingiliaji wa nchi za kigeni katika mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Kiafrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS