Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Watu 26 wauawa katika mapigano ya kikabila kusini mwa Sudan

    Watu 26 wauawa katika mapigano ya kikabila kusini mwa Sudan

    May 14, 2020 06:34

    Watu wasiopungua 26 wanaripotiwa kuuawa kusini mwa Sudan na wengine 19 kujeruhiwa baada ya kuibuka mapigano ya kikabila katika jimbo la Kordofan Kusini.

  • Mapigano ya kikabila Darfur, Sudan yaua watu 30

    Mapigano ya kikabila Darfur, Sudan yaua watu 30

    May 07, 2020 03:28

    Kwa akali watu 30 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila baina ya Waarabu na wasiokuwa Waarabu katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.

  • Wafuasi 23 wa Omar al Bashir watiwa mbaroni nchini Sudan

    Wafuasi 23 wa Omar al Bashir watiwa mbaroni nchini Sudan

    May 01, 2020 09:10

    Polisi nchini Sudan wamewatia mbaroni wafuasi 23 wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir.

  • Indhari ya Kiongozi wa Baraza la Utawala la Sudan kuhusu kufanyika mapinduzi nchini humo

    Indhari ya Kiongozi wa Baraza la Utawala la Sudan kuhusu kufanyika mapinduzi nchini humo

    Apr 27, 2020 02:12

    Baada ya kupita takribani mwaka mmoja tangu yalipotokea mageuzi ya kisiasa nchini Sudan yaliyopelekea kuondolewa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Omar Hassan al-Bashir, nchi hiyo ingali inakabiliwa na hali kisiasa inayolegalega.

  • Serikali ya Mpito Sudan: Jamaa wa al Bashir wanapanga njama ya mapinduzi

    Serikali ya Mpito Sudan: Jamaa wa al Bashir wanapanga njama ya mapinduzi

    Apr 26, 2020 20:12

    Mkuu wa Baraza la Utawala nchini Sudan ametangaza kuwa, watu wa karibu na rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir wanapanga njama ya mapinduzi dhidi ya serikali ya mpito ya nchi hiyo.

  • Ripoti: UAE inashirikiana na Sudan kuunga mkono waasi wa Haftar nchini Libya

    Ripoti: UAE inashirikiana na Sudan kuunga mkono waasi wa Haftar nchini Libya

    Apr 25, 2020 06:34

    Gazeti moja la Libya limefichua kuhusu mapatano mapya ya Sudan na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kumuunga mkono kinara wa waasi Libya, Jenerali Khalifa Haftar.

  • Mapatano ya serikali ya Sudan na makundi ya wabeba silaha Darfur

    Mapatano ya serikali ya Sudan na makundi ya wabeba silaha Darfur

    Apr 24, 2020 23:35

    Serikali ya Sudan imefikia mpatano na makundi ya wabeba silaha katika eneo la Darfur magharibi mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa mapatano hayo, viti vinne chini ya anwani ya 'Kamati ya Amani' vitaongozewa Baraza la Mpito la Sudan.

  • Afisa mmoja wa ubalozi wa Marekani ashambuliwa kwa risasi mjini Khartoum Sudan

    Afisa mmoja wa ubalozi wa Marekani ashambuliwa kwa risasi mjini Khartoum Sudan

    Apr 24, 2020 02:38

    Ubalozi wa Marekani nchini Sudan umetangaza kuwa, afisa mmoja wa ubalozi huo amesalimika kifo baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Kharotum.

  • Mali za viongozi wa zama za Omar al-Bashir nchini Sudan zataifishwa

    Mali za viongozi wa zama za Omar al-Bashir nchini Sudan zataifishwa

    Apr 20, 2020 07:22

    Serikali ya Sudan imetangaza kuwa, mali za viongozi wa zamani katika kipindi cha uongozi wa Omar Hassan al-Bashir Rais wa zamani wa nchi hiyo zimetaifishwa na kufanywa kuwa mali ya umma.

  • Corona, Sudan yaomba msaada wa matibabu kutoka China

    Corona, Sudan yaomba msaada wa matibabu kutoka China

    Apr 15, 2020 20:13

    Serikali ya Sudan imeiomba serikali ya China iisaidie nchi hiyo dawa na vifaa vya matibabu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS