-
Takwa la Wasudan la kutaka Baraza la Kijeshi Sudan liondoe askari wa nchi hiyo vitani Yemen
Apr 22, 2019 23:49Wananchi wa Sudan wameandamana wakilalamikia hatua ya nchi yao kushiriki katika muungano wa Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) dhidi ya Yemen.
-
Viongozi wa maandamano Sudan wasimamisha mazungumzo na jeshi
Apr 22, 2019 02:52Viongozi wa maandamano ya wananchi nchini Sudan wamesema wamesimamisha mazungumzo na Baraza la Mpito la Kijeshi huku wakitoa wito kwa Wasudan kuendeleza maandamano nje ya makao makuu ya jeshi mjini Khartoum na miji mingine.
-
Waandamanaji Sudan wataka jeshi la nchi yao liondoke katika muugano wa kivita wa Saudia dhidi ya Yemen
Apr 21, 2019 21:06Wananchi wa Sudan wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum wakitaka askari wa nchi hiyo waondoke katika muungano wa kivita wa Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabi dhidi ya Yemen.
-
Waandamanaji Sudan kutangaza Baraza la Mpito la Kiraia
Apr 21, 2019 09:45Chama cha Wanataaluma Sudan kimetangaza kuwa kinajiandaa kutangaza Baraza la Mpito la Kiraia, litakalochukua madaraka kutokana kwa Baraza la Mpito la Kijeshi la nchi hiyo.
-
Rais Kiir wa Sudan Kusini amuomba Machar ajiunge na serikali ya umoja wa kitaifa
Apr 20, 2019 22:09Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemhimiza kiongozi wa upinzani Riek Machar kurejea nyumbani haraka ili kusaidia kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.
-
Sudan yaendelea kukumbwa na maandamano ya kushinikiza kuundwa serikali ya kiraia
Apr 20, 2019 03:36Sudan imeendelea kushuhudia maandamano ya wananchi yanayolitaka Baraza la Kijeshi la Mpito la nchi hiyo kukabidhi uongozi wa nchi kwa raia.
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan apigwa kalamu nyekundu kwa mashinikizo ya Saudia na Imarati
Apr 19, 2019 08:48Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan limempiga kalamu nyekundu Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kuonyesha kuwa tayari kukutana na ujumbe wa Qatar.
-
Wasudan waandamana wakitaka utawala wa kiraia, Saudia, UAE zaunga mkono jeshi
Apr 19, 2019 03:43Wiki moja baada ya kupinduliwa rais wa muda mrefu wa Sudan Omar al Bashir, idadi kubwa ya waandamanaji wamekusanyika katika mji mkuu Khartoum wakitaka baraza la mpito la kijeshi likabidhi madaraka kwa raia.
-
Rais wa zamani wa Sudan Omar al Bashir apelekwa gerezani
Apr 17, 2019 09:47Rais wa zamani wa Sudan Omar al Bashir anashikiliwa katika gereza ya Kober katika mji mkuu Khartoum lakini bado hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu hatua hiyo.
-
Uganda yasema iko tayari kuchunguza suala la kumpa hifadhi Omar al-Bashir
Apr 17, 2019 02:36Waziri anayeshughulikia masuala ya kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje Ya Uganda amesema kwamba nchi yake itachunguza suala la kumpa hifadhi Omar al-Bashir, rais wa Sudan aliyeng'olewa madarakani na ambaye anasakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.