Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Watoto 10 wapoteza maisha katika mlipuko Omdurman, Sudan

    Watoto 10 wapoteza maisha katika mlipuko Omdurman, Sudan

    Mar 24, 2019 19:43

    Watoto wasipungua 10 wamepoteza maisha baada ya chombo kisichojulikana kulipuka katika mji wa Omdurman karibu na mji mkuu wa Sudan, Khartoum.

  • Maelfu ya watu wanahitaji kuokolewa Msumbiji baada ya kimbunga cha Idai

    Maelfu ya watu wanahitaji kuokolewa Msumbiji baada ya kimbunga cha Idai

    Mar 22, 2019 03:47

    Habari kutoka nchini Msumbiji zinasema kuwa, watu zaidi ya 15,000 wanahitaji kuokolewa haraka na kupewa hifadhi kufuatia kimbunga cha Idai kilichotokea hivi karibuni nchini humo na kusababisha vifo vya mamia ya watu.

  • Sudan na Sudan Kusini zakubaliana kufungua tena kivuko cha mpakani

    Sudan na Sudan Kusini zakubaliana kufungua tena kivuko cha mpakani

    Mar 19, 2019 03:13

    Kamati ya usalama wa kisiasa ya pamoja kati ya Sudan na Sudan Kusini imeafiki suala la kufungua tena kivuko cha mpakani kati ya nchi mbili hizo.

  • Maandamano dhidi ya Rais Omar al-Bashir yaendelea kushuhudiwa nchini Sudan

    Maandamano dhidi ya Rais Omar al-Bashir yaendelea kushuhudiwa nchini Sudan

    Mar 18, 2019 01:02

    Maelfu ya raia wa Sudan jana walifanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakisisitiza kutekelezwa takwa lao la kuondoka madarakani Rais Omar Hassan al-Bashir wa nchi hiyo.

  • Maandamano ya upinzani yaendelea Sudan sambamba na kuapishwa baraza jipya la mawaziri

    Maandamano ya upinzani yaendelea Sudan sambamba na kuapishwa baraza jipya la mawaziri

    Mar 15, 2019 04:13

    Wakati mawaziri wa serikali mpya iliyoundwa nchini Sudan wakiwa wanakula kiapo cha utiifu, mamia ya watu wameandamana katika miji miwili mikubwa ya nchi hiyo ya Khartoum na Omdurman.

  • Waziri Mkuu mpya wa Sudan aunda Baraza la Mawaziri likiwa na mabadiliko madogo mno

    Waziri Mkuu mpya wa Sudan aunda Baraza la Mawaziri likiwa na mabadiliko madogo mno

    Mar 14, 2019 04:42

    Waziri Mkuu mpya wa Sudan ameunda baraza jipya la mawaziri lenye mabadiliko madogo mno kama moja ya njia ya kupunguza mashinikizo na malalamiko ya wananchi yanayoendelea kwa miezi kadhaa sasa nchini humo.

  • Muda wa hali ya hatari Sudan wapunguzwa huku maandamano yakishadidi

    Muda wa hali ya hatari Sudan wapunguzwa huku maandamano yakishadidi

    Mar 11, 2019 23:28

    Muda wa kutekelezwa sheria ya hali ya hatari nchini Sudan umepunguzwa kutoka mwaka mmoja na sasa ni miezi sita.

  • Wanawake 9 na viongozi wa upinzani wasukumwa jela Sudan

    Wanawake 9 na viongozi wa upinzani wasukumwa jela Sudan

    Mar 10, 2019 23:09

    Naibu Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Umma na binti ya kinara wa chama hicho ni miongoni mwa wanawake tisa wa upinzani waliohukumiwa kifungo jela kwa tuhuma za kukiuka sheria ya hali ya hatari nchini Sudan.

  • Rais al Bashir wa Sudan atoa amri ya kuwastaafisha maafisa wa jeshi

    Rais al Bashir wa Sudan atoa amri ya kuwastaafisha maafisa wa jeshi

    Mar 09, 2019 04:01

    Rais Omar al Bashir wa Sudan ametoa amri ya kuwastaafisha maafisa kadhaa wa jeshi la nchi hiyo.

  • Wasudan wafanya mgomo kumshinikiza Rais Bashir ajiuzulu

    Wasudan wafanya mgomo kumshinikiza Rais Bashir ajiuzulu

    Mar 05, 2019 10:44

    Mgomo wa siku moja uliotishwa hii leo kwa ajili ya kumshinikiza Rais Omar al-Bashir wa Sudan aachie ngazi umelemaza shughuli za kila siku katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS